Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah dharau ya kikei kavu kabisa. Inachubua kuta za moyo kwa ukakasi."Hivi katika wanaume we naye unajiona ni mwanaume...ehee??"
Hiyo kauli aliambiwa braza mbele yangu na mwanamke ambaye alikuwa anaishi nae kama mke.
Huwa inaniumaga mpaka leo utafikiri niliambiwa mimi, halafu cha kushangaza braza wala hata hakujali.
Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
Hilo fundisho kwake na kwa vizazi vyakeBaada ya miezi miwili ya mahusiano "Naona vyombo ulivyotumia vinanisubiri mm nivioshe"
Nikajidai sijasikia.
Wiki mbili baadae, "hizo nguo nje mpaka mm ndo nikaanue".
Nikaenda anua. Baada ya kunyanduana weekend nzima j3 alipotoka nikaita fundi akabadilisha vitasa vya mlango. Nguo zake zilizokuepo nikazitundika kwenye kamba nje then "nikasafiri" zaidi ya wiki nikabadili na namba ya simu.
Tulionana baada ya miaka miwili, ndo akaniambia tangu aanze kudate mahusiano yake hayajawahi dumu zaidi ya miezi sita. Nikamweleza madhaifu yake, akawa anabishabisha pale ila akaja kuelewa. Akanipa na 'zawadi' kwa kumfungua macho.
Hahahah yeye ni boya tu katika list.(Aliniambia kwanza kuwa na mwanamke mrembo kama mimi ni bahati tu kwako,na hutopata mwanamke kama mimi)
Nilimjibu kuwa katika wanawake zangu kadhaa wewe ndo wa mwisho kwa kila kitu ..
.Alilia sana na mpaka sasa ananiomba msamaha
Mwanamke hatakiwi kuonyeshwa anapendwa...Hahahah yeye ni boya tu katika list.
Wanaharibu uzi, wao wanaona ma genius kujenga hoja na kupangua wakat sisi hatupo interested na misimamo binafsi ya kila mtu.Kuanzia post 500 mpk ya 1000 watu wanabishana tuuh hamn Visa
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Hata kama kwenye utani , usiluhusu toxic wordHuyu mtoto wa watu hajawahi nijibu kunya, Labda kwenye utani.
[emoji28][emoji28][emoji28]
Hakuna ulichopoteza mkuu ushaichakaza vya kutosha"Ulijua mi nataka mapenzi kwako ,Mi mwnamke napenda pesa sizani kama utaniweza wewe pisha wenzio wenye hela Tafuta hela ukizipata utanitafuta".[emoji6][emoji6] Muda huo angali nimemkula sio chini ya mara 70 Tangu kanasoma mpaka amehitimu kidato cha Nne baada kuingia mtaani kufanya kazi saloni ya dada ake akaanza kubadlika.
EehHahahah ujasusi wa hatari
Mim sio tapeli matusi si mazuri.wewe dada ni tapeli pro max 😂
Dah kweli kabisa mwanangu.Upo sahihi kabisa.
Sema kuna scenario za mwanamke anataka kuonyesha yupo kwenye class fulani hivi hata matumizi/mahitaji yake ana-exaggerate kuwa huwezi kutoa.
Sasa time unamtimizia vyote anaongeza exaggeration unatambua kabisa hapa kweli hana huruma .[emoji23]
Kuna mmoja nimewahi kukutana nae huyo.
Wana ujinga ujinga mwingi sana aisee hawa viumbe. Nimesoma hii comment nikakumbuka situation flani nikapata hasira sana. Nimeshavunja glass na sahani hapa. Pumbavu sana.Wastaarabu tunaitwaga mazoba, just because we ain't dramatic and act sane all the time. Watoto wa kike like some crazy shit to be done on them at times! Mtu mstaarabu hawezi fanya mambo ya kuudhi while anajua yeye hapendi kufanyiwa but guess what? It works differently to these girls. Atalalamika yuko abused he wants a man with sanity akipata baada ya muda ataanza kusema the guy is boring anatamani apate chizi tena[emoji23][emoji23][emoji23]
Kazi ulikuwa unafanya saa ngapi au ulikuwa likizo?Mi mwanamke flani nilimpenda kwa moyo mmoja pamoja na kumpa time yangu.Lakini hakuyaona nimezaa naye mtoto mmoja.Keshanicheat sana vya kutosha na wanaume tofauti pamoja na kukuta naked photo anawatumia wanaume wengine.Lakini basi kwa vile nilikuwa namuheshim sikumtukana wala kujibishana naye niliamuwa kumuacha kimya kimya,Basi kakaa akaamuwa kujirudi na kuomba msamaha usiku na mchana na kusema amebadilika anajutia yote,basi nikarudisha moyo nikamsamehe.Akanialika niende kwake nimtembelee pia mi mwenyew nilikuwa nimmis mwanangu kumuona nikasahau yote nikaenda ni mkoani.
Basi ile kufika mkoani kanikaribisha na maisha yakaendelea,tukiwa happy mwanangu akafurahi kuniona.Hata siku moja sikugusia wala kuongelea yale makosa aliyofanya,nikaona ni kurudisha mambo nyuma na kuzua migogoro upya sikugusia kabisa, ki ukweli mi sipendi tafrani kwa kuwa huko nyuma nshapata matafrani nusura yantoe roho ya maisha lakini.
Ile tunaendelea kuishi nkaona mwenzangu kama anabadilika akanza kununa bila sababu, ye kutwa mzima ni simu na tv tu.Mnakaa sebuleni unachoomuuliza ndo anachojibu hamna siku mkae hata muongelee mustakabali ya maisha yetu.
Basi siku moja mi nkaenda mjini make huko tulipo ni kijinini nilienda kununua mahitaji,ile kurudi mida ya saa moja jioni nakuta staff wenzie wapo sebuleni wanatazama mpira afu wa kiume.Sasa mi nikamuuliza mbona una ujasiri wa kuleta wanaume nyumbani kwako huoni hata haya kwa nini hata hukunifahamisha.
Alichonijibu ni kuwa sasa mi ningefanyeje watu wamekuja kutazama mpira ningewafukuza mi nkamjibu hichi so kibanda umiza basi kanununa.Hao jama wameoa na wana tv makwao.
Sasa mi nkajiuliza mfano jamaa mmoja niache ye kaenda mjini mi niende kwa mkewe nimwambie shem hebu washa tv nikae nijitanue kwe sofa mmewe akija atanifikira vipi.
Basi mi nkaondoka kuna kuna mtu alikuwa kaniagizishia vitu vyake nimpelekee.Ile narejea sijawakuta kumbe kawaambia mme wangu hataki kuwaona na hataki mje hapa mi wala sijuwi.Kesho yake kanuna balaa,ilivo fika usiku kaenda lala mi kuna movie nabaki naifatilia kufika saa 4nne usiku nkasema ngoja nkalale mtume!!! kanifungia mlango wa chumbani gonga! mlango wapi nikaamuwa nilale sebuleni.
Usiku mida ya saa kumi na moja kajiamsha anajifanya kushangaa eti ananiplz nikalale chumbani.Mi nkamjibu hapa pia ni pazuri we kalale tu.Akaenda kulala kumekucha yupo mkavu hata kuomba msamaha wala kujutia hamna yupo happy tu.Kuna kipindi Sexy ananijibu hajiskii,mara nimechoka hayupo romantic kabisa mda mwingine nkawa najihisi nimelala brother hata swala la usafi ni Zero .Nikaamuwa kuondoka now nasikia karudia kudanga tena.
True like amber HeardMzee huyo mwanamke ni narcissist...Huwa wana power ya ushawishi na kurudisha watu katika dimbwi la mateso ya kihisia.
Ushaona mtu anakutesa wee kisha ukitaka kuondoka anajiliza na kujifanya mwema na anajutia makosa yake. Ukianza kujenga trust tu anakuvuruga upya tena. Thats the type of woman you are messing with. Chukua mtoto kisha tia block kimbia mazima usigeuke nyuma mtoto peleka hata kwa bibi yake.
Shetani ana nguvu sana kwa hawa viumbe. Anawavaa kirahisi sana pumbavu.Nishawahi kuambiwa kila kitu ulichoandika hapo na maneno mengine mengi yachukizayo nilitamkiwa na kabinti nilikokua navimba nako mtaani kama kumbikumbi hakaoni hatari kunila kinywa kwa daladala over the sudden kakaanza ku question utanashat wangu, my intelligence, my future ,body fitness, ndevu, urefu uongeaji huwezi kuamini ilifikia kipindi nikiwa nalalamikiwa eti kwanini sinywi bia kama vijana wengine nikaishia tu kusema kheee!