Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Daah hao wanawake WANA MBINGU YAO SPECIALHahahh sawaa
Acha tuu mkuu, ni wale Wanawake ukitembea nae anakushika Mkono, Mara shati [emoji28]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daah hao wanawake WANA MBINGU YAO SPECIALHahahh sawaa
Acha tuu mkuu, ni wale Wanawake ukitembea nae anakushika Mkono, Mara shati [emoji28]
Tairi la akiba hilo'' kunihudumia unanihudumia, kunijali unanijali lakini najikuta sikupendi tu ujiongeze na wewe" ...hii kauli sitaisahau niliamua kusepa kimya kimya mwisho akianza kunitafuta nikamwambia na Mimi nimejikuta tu simpendi, Hadi Leo anajifanya rafiki namimi namchora tu.
Duuuh i seee an alpha male here kudos broooo 💯💯Mimi nilikuwa nimemaliza chuo 2009 and then 2011 nikapata kakazi fulani, basi naye alikuwa mwalimu na anakaa kota za shule, baada ya muda akaanza kuja kulala kwangu anaweza kaa hata mwezi, nikaenda kwao na nikawa nataka kupeleka barua ya posa, basi sijui alibadilikia wapi, akaniambia yani barua mpaka mwakani? Mie nataka mwaka huu kama haupo tayari siwezi acha niondoke, tena akanizodoa na kidole, kimara mwisho hapo getoni kwangu, mie nikamuambia basi sawa kama umeamua hivyo, ila tambua huko duniani utapata elimu na kuijua thamani yangu, siku ya siku jumamosi naenda kazini tulikuwa tunafanya nusu siku, akaniambia halfcastmangi naomba nauli nirudi kwangu, akaanza funga funga nguo zake, nikamuuliza shilingi ngapi, akasema 20k, hapo ni 2013. Mie nikampa 40k kabisa, akasema hunipeleki, nikamuambia naenda kazini. Basi nikiwa ofisini saa 5 hivi akanitumia meseji kuwa kwaheri mimi nimeondoka. Nikamjibu haya asante kwa taarifa. Ile nimerudi geto kama saa 9 hivi mchana, nikakuta kachukua mpaka mapazia, friji, yani kitchen appliances zote na shuka kaniachia moja tu, kuna shati alininunulia, nikakuta kalichana chana, kuna kama lita 4 hivi nilikuwa naweka coins kasepa nacho, kiukweli niliumia sana siji sahau siku iyo nilienda kunywa grants kubwa 2. Halafu nikajisema sintamtafuta tena, baada ya wiki akanipigia eti naomba tuonane nikupe funguo yako, niliambia itupe tu, sikuwahi muona wala kumpigia tena.
Ikapita miaka kama 6 hivi nikaona text, pole kwa kufiwa na mama, kweli mama yangu alimpenda sana huyu binti. Basi nikamjibu asante, ikapita miezi 4 akatuma tena text nimeonana na mdogo wako anayesomea udaktari hapa chuoni kwao kwenye lift, nikamuambia haya, hapo tayari nikasikia alizalishwa na mjuba akakimbia na 120 shwaaang.
Mwaka 2021 nakumbuka nikawa botswana nikapiga picha nikiwa mgahawani ktk mall fulani hivi nikaweka status, ghafla naona ananitext habari za miaka, nikamjibu nzuri tu, mara hapo wapi, nikamjibu gaborone, botswana, mara hongera sana halfcastmangi wewe mpambanaji sana, siku nikawa kwa madiba nikaweza tena status kukakera tu, kakaamua kupiga kabisa, nikamuambia unanipigia na mumeo akiona itakuwaje, akajibu kuna wanaume siku hizi, wanaume mlikuwa nyie bwana [emoji23][emoji23]. Basi kakawa kanaendelea tu kulazimisha mahusiano, mwaka jana nikatupia picha nipo na shemeji yenu, kakaniandikia meseji eti kuwa mbona huyo kama sio mtanzania umeamua kuoa huko nn, nikamjibu huyu ni mmasai mbona, halafu bahati mbaya wanafanana majina, nikuambia tena ana jina kama lako,
Wiki 2 zimepita sasa akanipigia anasema anaomba msamaha kwa yote yaliyotokea na anajuta sana yani sana, eti alidanganywa na shoga ake na walishahombana naye. Akawa anasema ananipenda sana na kamwe hawezi kunisahau.
Juzi kakapiga WhatsApp upo wapi, nikakaambia kwa madiba, kakasema kanaomba zawadi na kanaomba simu, ya kwake kioo ni shida, kakaomba nikakopeshe na 200k.
Kiukweli nilimpenda sana yani sana, sikuwahi cheat nikiwa naye, nilimtunza kama malkia, ila kile kidole alinisota nacho, nilijiapiza kutokuwa naye tena, haswa kwa mie mchaga wa kibosho ni fedheha sana.
Nilimpenda ila kwasasa hana nafasi tena, malkia wangu nilimpa story kamili, akaomba kuhakiki, nikamruhusu, kwa sasa nampenda sana masai wangu. Nilikuja gundua wakati ule alitamani wenye mali nyingi na kuona sina mwelekeo.
Namalizia kwa kusema kweli wanaume kuna majibu au kauli huwa tunatamkiwa, ukiwa na roho ndogo unaweza kujiuwa, kugeukia ulevi au uraibu wowote, sio wote tunaweza handle the situation. Huyo alinitamkia kauli za dharau nyingi tu sijaziandika hapa. Pia nikiri sio wanawake wote walio na tabia mbaya au mbovu, hapana wapo wema na wanaojua thamani ya mahusiano, heshima kwa mwenza wake.
Kiufupi nami huo ndio mkasa niliwahi kutana nao na nikaumia sana, mbaya zaidi wakati ananiacha na kazi mradi ukaisha nikawa jobless, nikauza ka vitz kangu bado maisha yakanichapa sana, nikakonda kama nina ngwengwe kwa maana nilikuwa namuwaza yeye tu.
Kwann hukufuta namba yake umpotezee sasa mkuuuuAsante mkuu, japo yalishapita ila siwezi sahau, yani alinidharau kuliko kanyagio la chooni.
Ushauri nifanyajePole aisee
Wanawake wasio na akili kama hawa wapo kumbe [emoji2]"Ungekuwa Handsome kama mjomba ako ungenoga sana "
"Hunipunguzii chochote hata ukissma tuachane".
"Kamwe utapata kama mimi na hayupo".
"Mwanaume haupo Romantic kama Saidi Mbwambo, na. kumbuka Saidi wangu jamani yule kaka ". Aaaah kum_amamake hapa ndio nilimpa Mabanzi na ikawa mwisho wetu.
Mzee wa the gunners unazingua"Yaani mb0.0 yako kabla sijakutana na wewe sikufikiria kuna mwanaume yuko hivyo. Ni ndogo sana"
Nilinywea feelings mpaka pvmbu.
Wapo Kaka.Wanawake wasio na akili kama hawa wapo kumbe [emoji2]
[emoji28][emoji28]"Yaani mb0.0 yako kabla sijakutana na wewe sikufikiria kuna mwanaume yuko hivyo. Ni ndogo sana"
Nilinywea feelings mpaka pvmbu.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji2][emoji2][emoji1][emoji1][emoji1]"Kaka mi wa gharama sana lakini utaweza kunigharamia kweli?"
Nilimuuliza je, gharama yako inazidi gharama ya kuihudumia range rover kwa mwezi mmoja? Akaufyata [emoji3][emoji3][emoji3]
Ingekuwa mimi,naapa mngeniskia kwa millard ayo.Alinitukania mamaangu [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Ukajihisi kama upo mbinguni hv,vp bado anakukis kiss???Amnaa
Namanisha Mapenz ya dhati yale mnatembea kukushika Mkono nini Au shati kwa nyuma hivi, basi tu afurah nafsi yake.
Yani hafichi mapenzi yake aliwahi nikiss tukiwa kwnye gari alaf tulikua tumesimama na gar halikua limejaza
Nakushauri,MWANAMKE AKICHEAT,USIMSAMEHE,ATAENDELEA KUKUONA LOFA.Mi mwanamke flani nilimpenda kwa moyo mmoja pamoja na kumpa time yangu.Lakini hakuyaona nimezaa naye mtoto mmoja.Keshanicheat sana vya kutosha na wanaume tofauti pamoja na kukuta naked photo anawatumia wanaume wengine.Lakini basi kwa vile nilikuwa namuheshim sikumtukana wala kujibishana naye niliamuwa kumuacha kimya kimya,Basi kakaa akaamuwa kujirudi na kuomba msamaha usiku na mchana na kusema amebadilika anajutia yote,basi nikarudisha moyo nikamsamehe.Akanialika niende kwake nimtembelee pia mi mwenyew nilikuwa nimmis mwanangu kumuona nikasahau yote nikaenda ni mkoani.
Basi ile kufika mkoani kanikaribisha na maisha yakaendelea,tukiwa happy mwanangu akafurahi kuniona.Hata siku moja sikugusia wala kuongelea yale makosa aliyofanya,nikaona ni kurudisha mambo nyuma na kuzua migogoro upya sikugusia kabisa, ki ukweli mi sipendi tafrani kwa kuwa huko nyuma nshapata matafrani nusura yantoe roho ya maisha lakini.
Ile tunaendelea kuishi nkaona mwenzangu kama anabadilika akanza kununa bila sababu, ye kutwa mzima ni simu na tv tu.Mnakaa sebuleni unachoomuuliza ndo anachojibu hamna siku mkae hata muongelee mustakabali ya maisha yetu.
Basi siku moja mi nkaenda mjini make huko tulipo ni kijinini nilienda kununua mahitaji,ile kurudi mida ya saa moja jioni nakuta staff wenzie wapo sebuleni wanatazama mpira afu wa kiume.Sasa mi nikamuuliza mbona una ujasiri wa kuleta wanaume nyumbani kwako huoni hata haya kwa nini hata hukunifahamisha.
Alichonijibu ni kuwa sasa mi ningefanyeje watu wamekuja kutazama mpira ningewafukuza mi nkamjibu hichi so kibanda umiza basi kanununa.Hao jama wameoa na wana tv makwao.
Sasa mi nkajiuliza mfano jamaa mmoja niache ye kaenda mjini mi niende kwa mkewe nimwambie shem hebu washa tv nikae nijitanue kwe sofa mmewe akija atanifikira vipi.
Basi mi nkaondoka kuna kuna mtu alikuwa kaniagizishia vitu vyake nimpelekee.Ile narejea sijawakuta kumbe kawaambia mme wangu hataki kuwaona na hataki mje hapa mi wala sijuwi.Kesho yake kanuna balaa,ilivo fika usiku kaenda lala mi kuna movie nabaki naifatilia kufika saa 4nne usiku nkasema ngoja nkalale mtume!!! kanifungia mlango wa chumbani gonga! mlango wapi nikaamuwa nilale sebuleni.
Usiku mida ya saa kumi na moja kajiamsha anajifanya kushangaa eti ananiplz nikalale chumbani.Mi nkamjibu hapa pia ni pazuri we kalale tu.Akaenda kulala kumekucha yupo mkavu hata kuomba msamaha wala kujutia hamna yupo happy tu.Kuna kipindi Sexy ananijibu hajiskii,mara nimechoka hayupo romantic kabisa mda mwingine nkawa najihisi nimelala brother hata swala la usafi ni Zero .Nikaamuwa kuondoka now nasikia karudia kudanga tena.
Haha noma sanaIngekuwa mimi,naapa mngeniskia kwa millard ayo.
Ungemjibu,nimewekeza mboloMimi niliwahi kuambiwa
“”Unasema unanipenda ni kitu gani ambacho umewekeza zaidi kwangu””