Unakumbuka kauli gani chafu iliowahi kukukera ukajiengua from a Toxic partner?

Hahahah kumbe ulikuwa hujapiga goli ata moko.
 
Ngoja adake tena mshiko, utayamba mpepo. Usimpe Chansi hiyo tena.
 
Yani half cast ni dili unavoona? Full cast ni chini ya half cast au? Ndio maana wazungu na ngozi nyeupe inatutawala mpaka kiama. Hatujiamini na hatujipendi.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 jamani nimecheka
Huyo demu ni mkaksi balaa🤣🤣🤣🤣
 
Huu uzi umenifurahisha kwakweli🤣🤣🤣🤣
Poleni wote mliopigwa na majibu mazito
Wanawake tuna nafasi yetu special mbinguni!
 

Hapa ulikuwa Ushamuona Kanisani/Msikitini?

Wazazi wake walilipokeaje hili swala?

Waliwaita Kikao au ?

Move Nzuri sana ulifanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…