Unakumbuka matokeo ya mechi gani yaliyokuachia kumbukumbu isiyofutika kichwani?

Unakumbuka matokeo ya mechi gani yaliyokuachia kumbukumbu isiyofutika kichwani?

DATAZ

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2012
Posts
3,799
Reaction score
10,196
Mimi nakumbuka hii hapa.
Screenshot_20250204-140521.jpg

Siku hii tukiwa na ma fans wa Germany, baada ya matokeo, Pombe zilinyweka kuanzia saa 6 usiku huo Hadi kesho yake saa 6 usiku. (Mengine sisemi).

Toka siku hiyo sijwahi kunywa tena kiasi kile.

Huko Brazil nako Serikali ikatangaza maombolezo ya kitaifa 😂😂

Kwa kifupi, Football Inakuwaga na matokeo yanayoweza kukushangaza sana .
 
Duh 🙄 hii mechi sijawahi isahau kama kuna dhambi ilitendwa na Yanga ni hii siku umri umeenda ila haifutiki akilini mwangu!

Siku ambayo mama yenu ilibaki hivi akutane na talaka
 

Attachments

  • IMG_5644.jpeg
    IMG_5644.jpeg
    42 KB · Views: 3
Back
Top Bottom