balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
Tuombe Mungu yanayosemwa yatimie.Kama nimemuelewa vizuri mwandishi wa uzi hu (kama ni kweli huo ndio msimamo wa Nyerere ) ni hivi; yule rais wa Zanzibar, Watanganyika hatukushiriki kumchagua (though still is too theoretical cause rais wa Zanzibar anachaguliwa na Dodoma) kachaguliwa na Wapemba na Waunguja, huyu makamo wa rais wa muungano anachaguliwa pamoja na rais aliyeko madarakani; Ingawa tuombe Mungu apishilie mbali mawazo ya wachangiaji wengi, Mungu atuepushe kabisa.
Soma kama wenzakoKaka mbonA mi i'm black.!??
Hivi ilikuwa 1994 au 1985? Kwa ninavyokumbuka Ali Hassan Mwinyi ndo alikuwa wa mwisho kuwa rais wa Zanzibar ambaye ni makamu wa rais wa jamhuri.
I stand to be corrected
Babu yupiHuyo babu yenu hakuna alichokifanya cha maana na hatakumbukwa....ameondoka na kuiacha zanzibar ikiendelea na mfumo huo huo wa kuiba kura.
Babu yupi
Hivi ilikuwa 1994 au 1985? Kwa ninavyokumbuka Ali Hassan Mwinyi ndo alikuwa wa mwisho kuwa rais wa Zanzibar ambaye ni makamu wa rais wa jamhuri.
I stand to be corrected
Nadhan suala la rais wa Zanzibar kuwa makamu wa rais bara halihusiani na vyama vingi, liko kikatiba zaidiNi mwaka 1994. Mwaka 1985 kulikuwa na CCM tu.
Naona umetoa orodha tu hapo1985-1995 Mwinyi, Raisi wa Tanzania
1995-2005 Mkapa,
2005-2015 Kikwete,
2015-2025 Magu,
2025-2035 may be MALCOM LUMUMBA
MdogoWenu said:
Nyerere akasema hilo lilikuwa ni tatizo kwa sababu Rais wa Zanzibar anachaguliwa na wazanzibar tu.
sijaona km ni Hoja za kitoto Rais Hussein Ally Hassana Mwinyi kachaguliwa na Wazanzibar tu, wakati Makamu Samia Suluh Hassan kachaguliwa na Wanzanzibar na Watanzania wote.MrFroasty
Hoja za kitoto hizo, makamu wa Rais anapigiwa kura na nchi nzima kushika nafasi ya umakamo. Tena na gharama zingekuwa nafuu, kwa vile kusingekuwa na makamo wa Rais, badala yake nafasi hii ingekuwa nearly empty kwa vile Rais wa tz akiwa hai makamu anashughulika kazi zake za Urais Zanzibar.
Ndio kamanda wangu, au na wewe nikulist 😄Naona umetoa orodha tu hapo
Dooh, ndugu yangu nashukuru sana kwa kunitabiria mema!1985-1995 Mwinyi, Raisi wa Tanzania
1995-2005 Mkapa,
2005-2015 Kikwete,
2015-2025 Magu,
2025-2035 may be MALCOM LUMUMBA
Kwaiyo mkuu unataka kusema kwamba uwezekano wa mama yetu kuwa raisi ni mdogo sana?Nyerere na Bomani waliku right kabisa. Katiba ya tanzania haijawahi kuwa wazi kuhusu kupokeana madaraka wakati Rais akifa; kwa mfano wakati Karume alipofariki, Makamu wa wa pili wa Rais wakati huo alikuwa Kawawa, lakini yeye hakuwa promoted kuwa makamu wa kwanza wa Rais, badala yake aliletwa Jumbe ambaye alikuwa waziri wa nchi kwenye ofisi ya Makamu wa kwanza Rais wakati huo.
Halafu Nyerere alipostaafu, Mwinyi hakuwa automatic choice bali kulikuwa kampeini kubwa sana ya "huyu ni mwenzetu" iliyofanywa na Nyerere ili kumkubali Mwinyi kama mrithi wa Nyerere, kulikuwa na uwezekano mkubwa sana wa watu wengine kuiwania nafasi hiyo.
Bado kulikuwa na woga wa "Treason Act 1351" kuhusu kuongelea uwezekano wa rais kufia madarakani.
1985-1990 wakati MWINYI ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, marehemu Sh. Idrisa Abdul Wakil alikuwa Rais wa Zanzibar na wakati huo huo ni makamo wa pili wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na huku Jaji Joseph Sinde Warioba alikuwa ni Waziri Mkuu na Makamo wa Kwanza wa Rais. Nadhani ni hivyo hivyo kwa 1990-1995 MWINYI Rais wa Jamhuri , Salmin Amour Juma Rais wa Zanzibar na Makamo wa Pili huku John Samwel Malechela Waziri Mkuu wa Jamhuri na Makamo wa Kwanza wa Rais ingawa Malechela hakumaliza kipindi chake kutokana na sokomoko la G55 lililopelekea nafasi yake kuchukuliwa na Cleopa David Msuya.Hivi ilikuwa 1994 au 1985? Kwa ninavyokumbuka Ali Hassan Mwinyi ndo alikuwa wa mwisho kuwa rais wa Zanzibar ambaye ni makamu wa rais wa jamhuri.
I stand to be corrected
Kichuguu,Kwaiyo mkuu unataka kusema kwamba uwezekano wa mama yetu kuwa raisi ni mdogo sana?
acha kiherehere mzeeKichuguu,
Hivi utahangaika kujibu watu kama hawa!
Kwakua Mwinyi alikua Mzanzibar na rais wa muungano, waziri mkuu wa wakati huo ndio akawa makamu wa kwanza wa rais, na si mwingine ni mzee Joseph Sinde WariobaHivi ilikuwa 1994 au 1985? Kwa ninavyokumbuka Ali Hassan Mwinyi ndo alikuwa wa mwisho kuwa rais wa Zanzibar ambaye ni makamu wa rais wa jamhuri.
I stand to be corrected
Wa TanganyikaKwani Rais waTanganyika huwa tunamchagua au TUME ya uchaguzi ndo inamuweka madarakani?