Miaka inaenda kasi sana, leo hii watu wanatumiana sms, emoji nk. Lakini miaka yetu wakati tunaanza kutafuta wapenzi tuliandika barua kwani haikuwa si rahisi kusimama na binti na ukaongea naye njiani.
Hivo ilikubidi uandike barua na kuvizia alafu unaitumbukiza ndani ya daftari lake au kupitia rafiki yake.
Lakini wakati huo roho ikidunda endapo itatokea asikubaliane nawe na kuipeleka kwa mwalimu. Na bahati mbaya sana ukute teacher ni Jarkata au JKT naye alikuwa ananyemelea.
Barua ingeanza hivi:-
Anuani
Sanduku la Posta
Moyoni Mwangu
Pokea salaam zisizo na kifani toka moyoni mwangu la azizi, natumai ubuheri wa afya kama ...... Mwenzio sipati hata lepe la usingizi kila ninapokuwaza, usiku kucha silali nakuota wewe.
.................
Wako akupendaye kwa dhati
FURY born