Unakumbuka nini enzi za kuandikiana barua za mapenzi?

Unakumbuka nini enzi za kuandikiana barua za mapenzi?

Aisee nilikuwa Advance.
Nyumbani alikuwa anakaa mtoto wa mamamkubwa. Nilimuelewa sana. Nilimwandikia barua ikanaswa dah. Ilikuwa fedheha
[emoji3][emoji3][emoji3] Duhh!! Ulitaka kumla Dada yako !?
 
Dah me ni domo zege tokea wayback. Nadhani kilichonicost ni haya mashule ya boiz haya.

Sasa likizo moja nikaenda Songea kwa bro. Nikawa nakaa kota. Kuna pisi moja nikaielewa hafu mdogo wake wa iyo pisi akawa anapenda sana kuja ghetto kucheki movie, music na game.

Kumbe yule pisi nae ananielewa sema ndio ivo. Dogo akaniambia dada uwa anakuulizia kinoma kila siku. Basi nimajaa upepo.

Nikaandika barua. Nikaenda nunua kabisa makaratasi flani special yana maua maua kwa mbaali background. Kijana niliandika punchline izo sio za nchi hii. Nikampa dogo akaeleka.

Jioni yake sasa, naenda kuchota maji coz tunashare bomba familia kadhaa. Ninavoenda napita nje ya kwao akawa anapika ila nikajifanya sijamuona. Demu akaacha kupika akazuga na yeye anakuja kuchota maji.

Yule demu sijui confidence alizipata wapi. Aliniambia man to man ombi lako nimelikataa. Aisse nilisahau hadi ndoo ya maji. Haikupita wiki niliomba nirudi home. Aisee kuendelea kumuona ilikua aibu nikahisi mtaa mzima wanajua.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mie nakumbuka mwaka flani kulikuwa na kamanzi mtaa wa pili nakahusudu kinyama ila mchizi domo zege.

Muda ukawa unaenda bila kukatokea ila siku moja napita chocho nikakuta kamebananishwa na Mwana boya tu anakapa Mistari, dah kidume ikani Pain Ikabidi nirudi Home kutafakari naiwahi Vipi meli Kabla haijazama, Mzee ndio nikatoka na wazo la BARUA..Nikaichora pale barua vizuriii full makopa na makiss humo tena nikamwambia nina bonge la muwa utakula mpaka usaze[emoji38]..

Afu nikatia mia mbili ndani yake kwenye bahasha nikamuita dogo lasi afanye service ya kunipelekea kwa Manzi ujumbe wangu matata..

Nikamwambia usipo fikisha mie naweza KUFA[emoji38]

Bwana wee dogo kumbe battery low asee si akazunguka kwa nyuma akaingia mlango wa uwani akampelekea bi mkubwa ile barua kwa madai ANAHOFIA BRAZA ANAWEZA AKAWA ANATAKA KUUZA NYUMBA KIMYA KIMYA WAO WATAISHI WAPI?..

Bi mkubwa akaifungua na kuanza kuisoma, nikasikiaaa weee mbwaaaaa njooo!!
Kwenda kule daaaah sikuamin macho yangu kuona bi mkubwa kashikilia kizibiti[emoji41]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mimi nahivi Visa vya barua ninavyo Kama 50 yaani hapa mmenikumbusha kitambo kinyama yaani ,,Nimejikuta nacheka Sana [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Achana na hiyooo
Nlikua na kademu kangu science
Siku ya valentine nkanunua kadi zangu 2 nkazifunga vizuriii
Nkatimba nazo sconga[emoji23][emoji23]
Ili mida yakutudi nmbane kwenye mianzi nimpe

Mida ya saatano waalimu wakatimba class

(WEKENI MADAFTATI NA MABEGI YENU JUU!)
Wakawa wanapita kukagua
Nkazibana kwenye counter book la math

Wakakaguaaaaaaaaaaaaa akaenda mbele
Nablile daftal aliangalia zaidi ya mala moja
 
Nilikamatwa redhanded na ngozi nilichofanya ni kuitafuna mdomoni nakapigwa sachi nikakutwa na nyingine ambazo baada ya kuzihariri ndo iliipata moja niloitafuna barua zilifika staff nilipelekewa moto kama Kawa madam mmoja akawa ananiuliza umetolea wapi maneno ya kikubwa kidemu kikawa kinachekelea tuu mateso yangu nimekutana nacho ukubwani kimekuwa kibaya
 
Mimi nakumbuka niliwahi kuandika barua ya mapenzi kama naandika ya maombi ya kazi,pale kwenye signature nilipiga sahihi kama najaribu pen inaandika au imeisha wino.
 
Back
Top Bottom