Hahahaa. Umenikumbusha mbali sana duuh!Ahahah. Nakumbuka ukitaka ku rewimd unatumia pen ya biki tu. Sema kasheshe ilikua kujua exactly ngoma unayotaka inaanzia wapi.
Hivi mdogo wangu umezikuta kweli redio za kaseti?Hahahahahaaaaa
Umenikumbusha mbali sana mkuu
Hahahaaa. DuuhHahahahha na ikinasa ukaivuta ikikatika sasa
Unatulia kuiunga utafikiri unatengeneza ndege
Hahaaa. Wacha kabisa rafiki.Nakumbuka ikizima unaipiga kibao kimoja inaendelea kufanya kazi
Hahaaa. Wacha kabisa rafiki.
Ila sijui kama yatakaa yajirudie haya mambo sababu tumeyaacha mbali sana aisee.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nakumbuka jirani yetu alikuwa nayo. Anaiweka njee anafungulia sauti kubwaaaa.
Na kuweka wimbo wa saida kalori. [HASHTAG]#mwenyewivuajinyonge[/HASHTAG]
mbona tulikoma
Kweli kabisa. Maana kila kitu kinapatikana humo.Tatizo yakijirudia hatutakua na mida nayo maana simu zimechukua nafasi za kila kitu