Unakumbuka nini kuhusu Redio ya Kaseti

Unakumbuka nini kuhusu Redio ya Kaseti

Ahahah. Nakumbuka ukitaka ku rewimd unatumia pen ya biki tu. Sema kasheshe ilikua kujua exactly ngoma unayotaka inaanzia wapi.
Hahahaa. Umenikumbusha mbali sana duuh!

Cha ajabu unazungusha wee mpaka unaupata mwimbo unaoutaka.

Na nilikuwa na chukia pale inapotokea unaiweka Kanda ianze kujisokota. Hahahaaaa.
 
Tatizo yakijirudia hatutakua na mida nayo maana simu zimechukua nafasi za kila kitu
Hahaaa. Wacha kabisa rafiki.

Ila sijui kama yatakaa yajirudie haya mambo sababu tumeyaacha mbali sana aisee.
 
Nakumbuka jirani yetu alikuwa nayo. Anaiweka njee anafungulia sauti kubwaaaa.
Na kuweka wimbo wa saida kalori. [HASHTAG]#mwenyewivuajinyonge[/HASHTAG]
mbona tulikoma
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nilikuwaga naiba mota betri zikiisha. Wakija weka betri wanajua kaseti limejifia.
 
Pamba yaa kufutia kutoa vumbi kwenye Hedi afu na spirit. Ukikosa unawezatumia kitambaa na konyagi. Vikikosekana hivyo unawezarumia tumia hata pombe ya moshi (gongo) mahali pa konyagi.
 
Back
Top Bottom