Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hahahaa. Umenikumbusha mbali sana duuh!Ahahah. Nakumbuka ukitaka ku rewimd unatumia pen ya biki tu. Sema kasheshe ilikua kujua exactly ngoma unayotaka inaanzia wapi.
Cha ajabu unazungusha wee mpaka unaupata mwimbo unaoutaka.
Na nilikuwa na chukia pale inapotokea unaiweka Kanda ianze kujisokota. Hahahaaaa.