Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha haaa mkuu hili jina nilipewa tu na hata sikumbuk ni nani alinipa hili jina.
Ilikuaje mkuu?hahah wakati huo tunaperuzi Darhotwire,enzi za bongo5,nilijiunga nikidhani mbaya wangu yuko humu,nilitukana kila mtu humu,lol..Asante Mungu,sijasahau ila state niliyokua nayo anayejua ni Mungu pekee
Unanikumbusha Kisa cha mshkj mmoja alikua mahututi hospital, sasa wanamuhoji ilikuaje?Ha ha haaa mkuu hili jina nilipewa tu na hata sikumbuk ni nani alinipa hili jina.
Ila baada ya kununua kioo kwa mara ya kwanza na baada ya kujiangalia ndo nikagundua kwann nilipewa jina hili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee.
Ha ha haa jamaa una domo kumzidi dimond nini?Ha ha haaa mkuu hili jina nilipewa tu na hata sikumbuk ni nani alinipa hili jina.
Ila baada ya kununua kioo kwa mara ya kwanza na baada ya kujiangalia ndo nikagundua kwann nilipewa jina hili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hope mtoto amekuwa sasaNilikua napenda comments za watu huku nikajiunga nicheke tu watu wanavyoandika. Nikapotea miaka miwili nikarudi kuwa active baada ya likizo ya ujauzito. Mpaka sasa sitamani kutoka huku na nikiwaza siku ya kupewa ban naishiwa nguvu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaaa etih nipo kwangu nahamna chakunifanyaHa ha ha ha ha, dahUnanikumbusha Kisa cha mshkj mmoja alikua mahututi hospital, sasa wanamuhoji ilikuaje?
Jamaa akajibu " ninachokumbuka niliwaambia nipo kwangu na hamna cha kunifanya"
Sent using Jamii Forums mobile app
Ban yangu yakwanza nilipewa kwasababu yako nilikwenda kinyume nataratibu nilikua sijui hata maana ya Ban nikajikuta mropokaji ila nilijifunzaNilikua napenda comments za watu huku nikajiunga nicheke tu watu wanavyoandika. Nikapotea miaka miwili nikarudi kuwa active baada ya likizo ya ujauzito. Mpaka sasa sitamani kutoka huku na nikiwaza siku ya kupewa ban naishiwa nguvu
Sent using Jamii Forums mobile app