Unakumbuka nini siku yako ya kwanza kujiunga JamiiForums (JF)

Unakumbuka nini siku yako ya kwanza kujiunga JamiiForums (JF)

hahah wakati huo tunaperuzi Darhotwire,enzi za bongo5,nilijiunga nikidhani mbaya wangu yuko humu,nilitukana kila mtu humu,lol..Asante Mungu,sijasahau ila state niliyokua nayo anayejua ni Mungu pekee
 
Ha ha ha ha ha, dah
Ha ha haaa mkuu hili jina nilipewa tu na hata sikumbuk ni nani alinipa hili jina.
Ila baada ya kununua kioo kwa mara ya kwanza na baada ya kujiangalia ndo nikagundua kwann nilipewa jina hili.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unanikumbusha Kisa cha mshkj mmoja alikua mahututi hospital, sasa wanamuhoji ilikuaje?

Jamaa akajibu " ninachokumbuka niliwaambia nipo kwangu na hamna cha kunifanya"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilikua napenda comments za watu huku nikajiunga nicheke tu watu wanavyoandika. Nikapotea miaka miwili nikarudi kuwa active baada ya likizo ya ujauzito. Mpaka sasa sitamani kutoka huku na nikiwaza siku ya kupewa ban naishiwa nguvu

Ban yangu yakwanza nilipewa kwasababu yako nilikwenda kinyume nataratibu nilikua sijui hata maana ya Ban nikajikuta mropokaji ila nilijifunza
 
Write your reply...nilikuwa Niki search hadithi google za magazeti najikuta naangukia humu nikapendezeshwa na nyuzi za Mzizi mkavu Za tiba hadithi nakadhalika at that time nlkuwa kama guest nasoma nyuzi na maoni ya watu baada ya mwaka nikajoin watu ninao wakumbuka ni huyu sister anaitwa Illuminata Rodgers Mzizi mkavu miss chaga huyu sister alikuwa akiandika maoni hukosi neno pesa
 
Back
Top Bottom