Unakumbuka sakata la kijana ibrahimu aliyempiga kofi Raisi Mwinyi ?

Unakumbuka sakata la kijana ibrahimu aliyempiga kofi Raisi Mwinyi ?

Watu nyie watu. Yaani mmeamua kuangalia mwaka kuliko mada yenyewe. Kwa nini kwa unayejua mwaka usiedit na uendelee na mada yaan mwaka tu unataka kuua uzi kisa jamaa kaweka 2010 badala ya 2009
 
Back
Top Bottom