Sprouts pre School
Member
- Jul 15, 2026
- 64
- 187
Alitumwa na wafia dini wenzake, akafa yeyeNikurejeshe mwaka 2010 ilikua balaza la Maulid kijana mmoja anafahamika kwa jina La Ibrahim aliweza kumfikia Raisi wa wakati huo na kumpiga kofi , sababu ilikua ni nini? Fuatilia video hapa chini .
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/reel/1724090805496548/?mibextid=9drbnH&s=yWDuG2&fs=e
2009 typing errorMwinyi hakuwa Rais wa wakati huo na haikuwa mwaka 2010.
2009Details zako sio sahihi haikuwa 2010
Mwinyi alikuwa madarakani 2010?Nikurejeshe mwaka 2010 ilikua balaza la Maulid kijana mmoja anafahamika kwa jina La Ibrahim aliweza kumfikia Raisi wa wakati huo na kumpiga kofi , sababu ilikua ni nini? Fuatilia video hapa chini .
Urais wa kimamlaka wa Mzee Mwinyi uliishia mwaka 1995 mwezi Oktoba.Ila,kumuita Rais kuliendelea tu(mstaafu).2009
Sasa si uedit kwenye uzi!2009 typing error
Kikwete alikuwa Rais mwaka gani mpaka mwaka gani? Kumbuka baada ya Mwinyi kuna Mkapa na Kikwete. Kwani tupo mwaka gani kwa sasa mpaka 2009 Rais kuwa ni Mwinyi2009 typing error