Unakumbuka tukio gani kuhusu hii picha?

Nakumbuka mafisadi yalikuwa yakijiharia wakijua sasa Utapeli wao kwisha.

Nakumbuka ulikuwa ni mda wa kipekee walioupata Watanzani na Waafrika kwa ujumla, kujipatia mapinduzi wanayotamania.

Nakumbuka harufu ya Samaki wa kukaanga ilivyotanda hewani, mate yalikuwa yanatoka na nilikuwa naomba mpimaji amalize nianze kuwatafuna hao sato.
 
Tanzania ni nchi ya majaribio, tutafika ila tutakuwa tumechoka mno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…