Unakuta Binti Mzuri, ana Shape unasema Mke Huyu. Kumbe nyuma ameweka kitunguu!

Unakuta Binti Mzuri, ana Shape unasema Mke Huyu. Kumbe nyuma ameweka kitunguu!

Mara vipi utamu, mara vitunguu, dooh bado mabulldozer mtayaweka lakini kamwe kifungu cha ishini na wanawake kwa akili hakitabadilika.
 
Hivi kuhama bongo unabonyeza ngapi vile?

According to Mama terry siku hizi wanaweka vitunguu


Yaani kitunguu kinawekwa huko hadi kinatoka kimeiva kabisa


Hii ni hatari aiseee


Mimi sitaki kuongea sana maana vitunguu vitapanda bei[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Una picha tuone hapo?
 
Siku hizi kila kitu kinakuwa artificial zamani ulikuwa unaikunguta inatoa kaharufu kazuri kama kale anako nusa beberu ila siku hizi hakuna tena kitu! Utadhani ni maji unakunywa hakuna ladha!
Kipindi hicho vidole vinabaki na kaharufu kazuri pengine siku hizi waweza kutana na kaharufu kabaya!
Ata vyakula ni hivyohivyo wali uki pikwa nyumba ya tatu au ugali lazima ujuwe siku hizi ata ukiwa sebuleni huwezi juwa nini kinaendelea!!
 
Ukeni hakuna bacteria wabaya, wanaweka weka mavitu yasiyostahili kuwekwa huko. Huko kunatakiwa kupitwe maji masafi tu na si vinginevyo.

Haya nayo makubwa! Hili la vitunguu ndo nalisikia leo.
Tena kwa juujuu tu maana ukisafisha sana hainogi alafu ile harufu nzuri ya asili inapungua
 
Back
Top Bottom