Unakuta BUS limeandikwa VIP/VVIP lakini likifika mahali linapandisha abiria wasiokuwa na Seat (wanasimama)

Ww ni muongo hizo kampun ulizotaja hapo hawafanyi n nimesafiri na zote hizo 2.

Katarama hawasimamishi mtu na allys star ukiacha VVI hata zile semi luxury hawasimamishi mtu.

Kiufupi ww ni muongo na una agenda ya kuchafua hizo kampun 2
 
Hatupo hapa kuichafua kampuni yeyote nimetoa mfano niliowahi kuona muda na siku uliopanda bus zinatofautiana mara ya mwisho ilikua lini?
 
True VIP bongo hakuna. Hizo service hatuwezi provide kwa 100%
+ hakuna ufuatiliaje basi watu ndio wanapitia humo humo
 
Unakuta mtu kasimama pembeni yako ananuka makwapa, chupi na ukurutu konda anamuacha tu akichafua hali ya hewa. There's a reason why ikaitwa VIP na VVIP. Serikali iingilie kati suala hili.
 
Ww ni muongo hizo kampun ulizotaja hapo hawafanyi n nimesafiri na zote hizo 2.

Katarama hawasimamishi mtu na allys star ukiacha VVI hata zile semi luxury hawasimamishi mtu.

Kiufupi ww ni muongo na una agenda ya kuchafua hizo kampun 2

Huwa unasafiri kila siku?. Ukweli ni kwamba huo ujinga unafanyika hakuna uongo.
 
Huwa nacheka sana, eti Tanzania hii kuna madaraja ya mabasi ya "luxury", "semi luxury". Yaani ni ushubwada mtupu!! Hivi wanajua maana ya luxury?
 
Usiombee hao abiria wa njiani wawe Wamasai au Wahazabe, ukiondoa tu harufu zao za ukurutu mwilini, yabidi ujiandae kwa kutemewa mate. Kila sekunde unaona mtu anatema mate akihisi ni haki yake kutema mate hovyo. Usipovaa raincoat kwenye haya mabasi, kwa kweli utafika huko uendako ukiwa unanuka kama hizo jamii.
 
Wakifika mizani wanafichwa chooni!
 
Hao wamasai ni kero hata kwenye daladala
 
Unakuta umepanda bus kila abiria amekaa katika seat yake ikifika mahali Bus linaruhusu kupakiza abiria wengine wanaanza kusimama pembeni ya seats za abiria wengine wanakaa katika njia za kupita.
Njia ya kwenda toilet inafungwa
Wanaosimama wanaegamia siti bus likiyumba unaangukiwa uliyekaa
Wanaegamia siti makalio yakuwa usawa wa kichwa cha abiria aliyekaa unasikia kiharufu kizito kinasambaa puani
Itatuchukua karne kadhaa kuelimika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…