Jbst
JF-Expert Member
- Nov 29, 2020
- 1,971
- 4,085
Ww ni muongo hizo kampun ulizotaja hapo hawafanyi n nimesafiri na zote hizo 2.Unakuta BUS limeandikwa VIP/VVIP lakini likifika mahali linapandisha abiria wasio na siti
Kuanzia Ally stars BUS wanaoisifia , katarama BUS na Bus zingine nyingi hali hii inafanyia abiria wake
Unakuta umepanda bus kila abiria amekaa katika seat yake ikifika mahali Bus linaruhusu kupakiza abiria wengine wanaanza kusimama pembeni ya seats za abiria wengine wanakaa katika njia za kupita.
Nini maana ya Bus kuipa Hadhi ya VIP/VVIP.?
Wamiliki wa Bus suala hili mnalifahamu?
- Ni bus gani haina tabia hizi?
Katarama hawasimamishi mtu na allys star ukiacha VVI hata zile semi luxury hawasimamishi mtu.
Kiufupi ww ni muongo na una agenda ya kuchafua hizo kampun 2