Unakuta BUS limeandikwa VIP/VVIP lakini likifika mahali linapandisha abiria wasiokuwa na Seat (wanasimama)

Wafanyabiashara wakubwa wa mabasi wanawaza faida tu
 
BM ys dar Arusha hiyo, unalipa bei kubwaa, ikifika moshi ishakuwa daladala..alafu VVIP
 
Lilinikuta hili kwenye basi la superfeo toka Mtwara kwenda Mbeya..!! Yaani kabla ya kufika Makambako walisimamisha watu wa kutosha. Polisi pale stendi ya Makambako waligoma kuruhusu gari kuondoka likiwa vile..!! Lakini mwisho wa siku sijui walipewa TAKRIMA wakachiwa huku watu wakiwa wamesimama..!!
 
Unapenda Bus la VIP Una kaguliwa ticket kila saa utazani una taka kuiba viti
 
Kiukweli Bora treni ilivyokuja, unapanda basi mnapitishwa hotel uchwara Moro choo kimoja mnapanga foleni, chakula Michele wavitumbua, mchuzi unaongezwa maji na mafuta, Bora ABC anawapeleka hotelin kwake
 
Tukisema Tz hakuna luxury buses tunashambuliwa, tukisema LATRA ni kijiwe cha wahuni wasiojua majukumu yao tunashambuliwa

Bora umeyashuhudia ndugu
 
Magari ya Mwanza yakifika Dodoma, Manyoni, Singida na kuendelea ni kero tupu
Magari ya Arusha yakifika Same na kuendelea ni kero tupu
UVIP wao upo stand wanapoondoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…