Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Uvundo mtaroniHicho "kiharufu kizito kinachosambaa" ni cha nini mkuu.......ðŸ¤ðŸ¤ðŸ¤ðŸ˜„😄😄
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uvundo mtaroniHicho "kiharufu kizito kinachosambaa" ni cha nini mkuu.......ðŸ¤ðŸ¤ðŸ¤ðŸ˜„😄😄
Hizo zinakuwa hela za konda...BM ys dar Arusha hiyo, unalipa bei kubwaa, ikifika moshi ishakuwa daladala..alafu VVIP
Lilinikuta hili kwenye basi la superfeo toka Mtwara kwenda Mbeya..!! Yaani kabla ya kufika Makambako walisimamisha watu wa kutosha. Polisi pale stendi ya Makambako waligoma kuruhusu gari kuondoka likiwa vile..!! Lakini mwisho wa siku sijui walipewa TAKRIMA wakachiwa huku watu wakiwa wamesimama..!!Unakuta BUS limeandikwa VIP/VVIP lakini likifika mahali linapandisha abiria wasio na siti
Kuanzia Ally stars BUS wanaoisifia , katarama BUS na Bus zingine nyingi hali hii inafanyia abiria wake.
Unakuta umepanda bus kila abiria amekaa katika seat yake ikifika mahali Bus linaruhusu kupakiza abiria wengine wanaanza kusimama pembeni ya seats za abiria wengine wanakaa katika njia za kupita.
Nini maana ya Bus kuipa Hadhi ya VIP/VVIP?
Wamiliki wa Bus suala hili mnalifahamu?
- Ni bus gani haina tabia hizi?
Sio kweli mkuu, hujakutana na hicho kisanga kwa BMKaskazini sijawahi kuona hii kitu…
Huku VIP ni VIP.. level seat mpaka konda 🤣🤣
Tukisema Tz hakuna luxury buses tunashambuliwa, tukisema LATRA ni kijiwe cha wahuni wasiojua majukumu yao tunashambuliwaUnakuta BUS limeandikwa VIP/VVIP lakini likifika mahali linapandisha abiria wasio na siti
Kuanzia Ally stars BUS wanaoisifia , katarama BUS na Bus zingine nyingi hali hii inafanyia abiria wake.
Unakuta umepanda bus kila abiria amekaa katika seat yake ikifika mahali Bus linaruhusu kupakiza abiria wengine wanaanza kusimama pembeni ya seats za abiria wengine wanakaa katika njia za kupita.
Nini maana ya Bus kuipa Hadhi ya VIP/VVIP?
Wamiliki wa Bus suala hili mnalifahamu?
- Ni bus gani haina tabia hizi?
Magari ya Mwanza yakifika Dodoma, Manyoni, Singida na kuendelea ni kero tupuUnakuta umepanda bus kila abiria amekaa katika seat yake ikifika mahali Bus linaruhusu kupakiza abiria wengine wanaanza kusimama pembeni ya seats za abiria wengine wanakaa katika njia za kupita.
Nini maana ya Bus kuipa Hadhi ya VIP/VVIP?
Wamiliki wa Bus suala hili mnalifahamu?
- Ni bus gani haina tabia hizi?