Unakuta Kuna mtu Anazaidi ya miaka 22 na hajawahi kumuona diamond live!?

Namuomba Mungu tu wanangu wasiwe ana akili kama zako


Umenikumbusha yule dogo aliyekua kajichora tatoo ya diamond alivyoitwa jukwaani na diamond yaani kalalia kifua analia alafu kajilegeza balaa, diamond anamuuliza unataka nikisaidie Nini, mtoto wa kiume huku analia anajibu 'mi nakutaka wewe' mpaka diamond akashtuka, nikawaza huyu akiombwa hata rinda hawezi kuchomoa!!!
 
Hakika serikali iongeze juhudu za kuzuia ushoga, mwanaume kamili mwenye malinda yasiyotatuliwa hawezi kuongea upupu kama huu.
Umesoma jukwaa linasemaje na linataka Nini, ndo kama nilichoandika kama walivyosema
 
Umesoma jukwaa linasemaje na linataka Nini, ndo kama nilichoandika kama walivyosema
 
Nina zaidi ya miaka 35 na wasanii niliowaona live wa bongofleva ni Mabaga fresh na TMK ya mwaka 2009....

Kwa kifupi sijawahi ona msanii yeyote wa Music kuanzia mwaka huo sababu kuu nilienda kuwaangalia kwenye fiesta nikakuta wamelewa, tena na ile hali ya kinamabaga fresh wakawa wanabebwa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…