Unakuta mtu anamcheka mtu kwenda kwa mganga wa kienyeji ila yeye amepanga mstari kununua udongo

Joined
Nov 3, 2022
Posts
74
Reaction score
146
"Ooh ukienda huko utapewa jini litakalokusumbua baadae"

Anayesema hivyo ameambiwa atoe sadaka ya kujimaliza, anunue mafuta na maji na mchanga huku nabii wake akimuambia "usiogope, usiogope chochote" wakati yeye amezungukwa na mabaunsa na nje impaki gari ya milioni 250 inasumbiria kuondoka akimaliza kufanya marketing.

Silly africans!!!
 
waganga wa kienyeji wamemaindi kinyama kunyang'anywa wateja wao
 
"Ooh ukienda huko utapewa jini litakalokusumbua baadae"

Anayesema hivyo ameambiwa atoe sadaka ya kujimaliza, anunue mafuta na maji na mchanga huku nabii wake akimuambia "usiogope, usiogope chochote" wakati yeye amezungukwa na mabaunsa na nje impaki gari ya milioni 250 inasumbiria kuondoka akimaliza kufanya marketing.

Silly africans!!!
🤣🤣🤣🤣🤣. Yaani ni aliyekosa macho kumcheka aliyekosa masikio
 
Back
Top Bottom