Unakutana na jamaa kapiga suti imekaa yupo kiheshima, kumbe hajala toka jana usiku

Ibilisi Mjalaana

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2019
Posts
8,297
Reaction score
16,529
Hapana lazma upate vidonda vya tumbo siku

Wanawake watatumia mgodi waliopewa bure na Mungu

Wale wanaume wasiojua kukaza ndo tunawapoteza kabsa kundini, wanahamia upande wa umamani

Wale wabishi ndo tunaenda kaz ngumu na kuacha elimu na aibu za kijinga pemben

Wale wachagua kaz pia wanaamia umamani

Wapumbavu wa mwisho wanaenda kukaa na shemej zao
 
Hapana lazma upate vidonda vya tumbo siku

Wanawake watatumia mgodi walopewa bure na Mungu

Kiuchumi: Hii inaitwa Absolute Comparative Advantage pamoja na matumizi ya Natural Resources/Assets zenye gharama ya uzalishaji ya sifuri ($COGS = 0$).Uchambuzi: Kwenye soko, kama una rasilimali ambayo hukuigharamia kuipata, Profit Margin yako inakuwa ni 100%. Wanaotumia fursa hii wanajua namna ya ku-leverage rasilimali zao kupata mtaji wa haraka (Liquidity) kuliko kupitia mifumo ya kawaida ya kibenki.
 
Gentleman,
kwa maoni yangu,
kula asubuhi, mchana na jioni kuna punguza umri wa kuishi humu duniani.

kula mara1 kwa siku ni muhimu zaidi kiafya, uwe umevaa suti au jeans.

mengine sidhani kama ni muhimu sana.🐒
 
Ipo hiyo mdau, tokea enzi za kubahatisha za salamander na leo!
Hatari sana sana hao watu!
 
Gentleman,
kwa maoni yangu,
kula asubuhi, mchana na jioni kuna punguza umri wa kuishi humu duniani.

kula mara1 kwa siku ni muhimu zaidi kiafya, uwe umevaa suti au jeans.

mengine sidhani kama ni muhimu sana.🐒
Kula mara 3 ni lazma sio ombi
 
Kiuchumi: Hii inaitwa Absolute Comparative Advantage pamoja na matumizi ya Natural Resources/Assets zenye gharama ya uzalishaji ya sifuri ($COGS = 0$).Uchambuzi: Kwenye soko, kama una rasilimali ambayo hukuigharamia kuipata, Profit Margin yako inakuwa ni 100%. Wanaotumia fursa hii wanajua namna ya ku-leverage rasilimali zao kupata mtaji wa haraka (Liquidity) kuliko kupitia mifumo ya kawaida ya kibenki.
Kwahyo unawashaur vijana wa kiume kama Stability parade lijalo wawe huru kuhudhuria?
 
Wale wabishi ndo tunaendea kazi ngumu na kuacha elimu na aibu za kijinga pembeni
Kiuchumi: Hapa ndipo penye High CAGR (Compound Annual Growth Rate) ya baadae na Opportunity Cost iliyolipiwa vizuri.

Sisi Tumeamua kupunguza Speculative Assets (elimu ya makaratasi isiyo na soko kwa sasa) na kuwekeza kwenye Hard Labor/Blue-Collar Sectors (migodi, ujenzi, biashara za mtaani). Tunaweka aibu pembeni kwa sababu tunajua kodi na njaa hazina diplomacy. Sisi ndio Tunaweza kuja kuwa matajiri wa baadae kwa sababu ya Compounding effect ya mtaji wa jasho.
 
Ni sawa,
ikiwa umepanga kuishi muda mfupi duniani, na kwenye nyakati za mwisho wako uwe unakula kwa masharti ya kitabibu kukusogeza siku mbele kidogo kwa mbinde 🐒
Kuna tofauti ya kula vizur na kula ovyoovyo katika milo hiyohyo 3, kutokula kabsa inaongeza risk ya kuenda kaburin kuliko kula ovyoovyo
 
Wale wabishi ndo tunaendea kazi ngumu na kuacha elimu na aibu za kijinga pembeni
Kiuchumi: Hapa ndipo penye High CAGR (Compound Annual Growth Rate) ya baadae na Opportunity Cost iliyolipiwa vizuri.

Sisi Tumeamua kupunguza Speculative Assets (elimu ya makaratasi isiyo na soko kwa sasa) na kuwekeza kwenye Hard Labor/Blue-Collar Sectors (migodi, ujenzi, biashara za mtaani). Tunaweka aibu pembeni kwa sababu tunajua kodi na njaa hazina diplomacy. Sisi ndio Tunaweza kuja kuwa matajiri wa baadae kwa sababu ya Compounding effect ya mtaji wa jasho.
Nakubaliana na ww
 
Kuna tofauti ya kula vizur na kula ovyoovyo katika milo hiyohyo 3, kutokula kabsa inaongeza risk ya kuenda kaburin kuliko kula ovyoovyo
kula vizuri bongo ni kwa mbinde mno gentleman,

nadhani kupiga mihogo yako ya buku asubuhi na kisha jioni ukapiga kiugali au kisahani cha wali na tunda inatosha na ni nzuri zaidi 🐒
 
Wale wanaume wasiojua kukaza & Wachagua kazi Wanahamia umamani"Kiuchumi: Hii ni Negative Leverage na kuporomoka kwa Human Capital Value.
Kwenye uchumi, ukishindwa kuzalisha (Negative Productivity), unakuwa Liability badala ya Asset. "Kuhamia umamani" maana yake wamefanya Outsourcing ya majukumu yao na kuwa Subsidiary companies chini ya mwanamke au wazazi. Wanapoteza kabisa uwezo wa kiushindani sokoni (Loss of Market Competitiveness
 
Wapumbavu wa mwisho wanaenda kukaa na shemeji zao"
Kiuchumi Hawa wapo kwenye kundi la Economic Parasitism na Bankruptcy.

Hawana COGS (Gharama za Uzalishaji) kwa sababu hawazalishi chochote, lakini wanachangia kuongeza Overhead Costs (gharama za chakula na umeme) kwenye kaya ya shemeji mtu. Hawa wana Zero CAGR na kiwango chao cha Risk ni kikubwa mno, maana siku shemeji akichafukwa roho, wanapigwa Liquidation (kufukuzwa) papo hapo
 
Back
Top Bottom