Unakutana na jamaa kapiga suti imekaa yupo kiheshima, kumbe hajala toka jana usiku

Unakutana na jamaa kapiga suti imekaa yupo kiheshima, kumbe hajala toka jana usiku

Wapumbavu wa mwisho wanaenda kukaa na shemeji zao"
Kiuchumi Hawa wapo kwenye kundi la Economic Parasitism na Bankruptcy.

Hawana COGS (Gharama za Uzalishaji) kwa sababu hawazalishi chochote, lakini wanachangia kuongeza Overhead Costs (gharama za chakula na umeme) kwenye kaya ya shemeji mtu. Hawa wana Zero CAGR na kiwango chao cha Risk ni kikubwa mno, maana siku shemeji akichafukwa roho, wanapigwa Liquidation (kufukuzwa) papo hapo
Punguza spana mkuu hii Financial Analyst na Chizi Maarifa wasiione
 
Kwa dunia ya sasa, jichanganye na watu utapata kitu.

Usijikute wewe introvert kitakulamba, introvert wako mbele uko.

Mtu analipwa laki 2 ila anaishi town kama analipwa 1M kwa michongo tu, kuongea na watu vizuri.

Watu wana hela, zipo mifukoni mwao, inahitajika akili yako tu kuzitoa huko wakupe wewe, sometimes kwa wewe hata kutotukiq nguvu sana.
 
Sasa mkuu kunichanganya na wenye hela si ndio na wewe uwe na hela. Mijamaa inaacha mpaka milioni bar kwa jmosi moja tu utaweza kujichanganya nae na elfu 5 yako ya bia mbili za kuzugia zugia
 
Sasa mkuu kunichanganya na wenye hela si ndio na wewe uwe na hela. Mijamaa inaacha mpaka milioni bar kwa jmosi moja tu utaweza kujichanganya nae na elfu 5 yako ya bia mbili za kuzugia zugia
Sio hivyo kaka, sio kujichanganya kwa mambo ya hovyo namna hiyo.

Yaani huko kwenye mishe zako just be humble, usiwe mjuaji, usitengeneze bifu za kishamba, usiwe short temper uonekane we mtata, sijui huogopi wala huheshimu mtu yeyote au wewe ni kivyakovyako tu huongei na mtu, hupigi dili na mtu hiyo laki 5 yako inakutosha utajimeki kupitia hiyo tu.

Ongea na watu, hapo ulipopanga usijifungie, ongea na watu.
 
Hapo nimekupata. Mimi sio mkimya wala muongeaji sana. Baada ya kumaliza chuo nilivyofungua biashara yangu ya kwanza nilijifunza kuongea kwa lazima. Bila kupiga domo bongo hii mchana mpaka jioni hauuzi kitu
 
Mi niliajiliwa na nilikua mpole kinoma, groups za kazini sijichanganyi, siongei na watu, full ukauzu na pesa ikanipa ukauzu wakati wenzangu wanapigiana pasi za dili wao kwa wao.

Nilipoanza kua muongeaji na kuungana nao ndio nikajua ninaaminika kirahisi, almost timu nzima inaniletea madili.

Kibongobongo fursa kwa introvert ni chache na zinahitaji skills na nyingi pesa ni kidogo tofauti na extrovert ambao wanazikusanya sana.
 
Hapana lazma upate vidonda vya tumbo siku

Wanawake watatumia mgodi waliopewa bure na Mungu

Wale wanaume wasiojua kukaza ndo tunawapoteza kabsa kundini, wanahamia upande wa umamani

Wale wabishi ndo tunaenda kaz ngumu na kuacha elimu na aibu za kijinga pemben

Wale wachagua kaz pia wanaamia umamani

Wapumbavu wa mwisho wanaenda kukaa na shemej zao
Hahahaha JF ina mambo!!
Hapo ukute mleta mada anatumia bando la OFA kutoka voda
 
Hizi suti na nguo ni kama makaburi yaliyopambwa kwa unadhifu na marumaru kumbe ndani ni mifupa na uchafu wa wafu ndo umejaa, katika dunia ya leo ni kupambana kwa bidii bila kuchoka, pesa si rahisi, pesa si lelemama inahitaji nguvu na akili, utafutaji ni mgumu lakini inabidi kupambana bila kukata tamaa bila kuchoka
 
Wapumbavu wa mwisho wanaenda kukaa na shemeji zao"
Kiuchumi Hawa wapo kwenye kundi la Economic Parasitism na Bankruptcy.

Hawana COGS (Gharama za Uzalishaji) kwa sababu hawazalishi chochote, lakini wanachangia kuongeza Overhead Costs (gharama za chakula na umeme) kwenye kaya ya shemeji mtu. Hawa wana Zero CAGR na kiwango chao cha Risk ni kikubwa mno, maana siku shemeji akichafukwa roho, wanapigwa Liquidation (kufukuzwa) papo hapo
Je kama nakaa Kwa shemeji lakini, nafanya kazi zao kama kwenda dukani kuuza au kufanya usafi wa NYUMBA, kwenda shamba na kupeleka watoto shule na kuwafata, una semaje huo ni umama?
 
Umenikumbusha Dodoma, kipindi nafanya kazi hotelini ya kuhudumia, Kuna jamaa namfahamu alikua dereva wa mbunge flani, nilipo kua nafanya kazi car wash iliyopo pale karibu na bunge ukivuka Barbara Kwa chini, alikua analeta gari kuoshwa nikawa namfahamu ila yeye hakunijua, nilipo acha kazi pale, nikahamia hotelini huku stesheni ya treni mkabara na Dodoma hoteli ttcl,

Siku Moja akaja na begi pale hotelini, nikamfata nikamchangamkia, nikamwambia namfaham alikua akileta gari car wash, gari ya mbunge jamaa akafurahi japo sura yake haikua na Nuru akaagiza wali nyama meneja alipo taka hela akamsonteshea kwangu kua huyo dogo ananijua nimesahau hela get to nafata nakuja kulipia, nikaitwa nikaulizwa kama namjua nikadai ndio, meneja akadai hela isipo lipwa tutakukata nikasema poa, ebhana EEH jama tangu asepe sijamuona Hadi Leo, tetesi kumbe alipigwa chini ndo mana alikua anatembea na begi, maisha haya
 
Back
Top Bottom