Unakwepaje Vyakula hivi

Unakwepaje Vyakula hivi

Hata Mo dewji hafanyi ujinga huo wa kukaa hoteli kwa gharama hizo , ni mara moja Moja zaidi ya hapo utakuwa mshamba wa pesa, na nahisi pesa huzijui
asalaleeeee! Mkuu kwa hichi ulichokiandika hapa wewe ndio mshamba wa pesa! fatilia kwa wenzetu dollar 500,300,200 ni pesa za kawaida tu sema inategemea unauchumi wakiwango gani!!.. usiseme hata mo hawezi sema wewe ndo hauwezi!.

sidhani hata kama ulishawahi kuona watu waki spend pesa wewe mtu anakaa hotel na analipa pesa hiyo kwa usiku mmoja na bado atanunua wine ya dollar 300 mpaka 700!.. na hanuni..🤣
usipoelewa sasahivi utakuja kuelewa hata kesho watu wanahela babu!.
 
Anzia ndani ya Nyumba yako.Fanya shopping ya nguvu
Mfano Vyakula vya wanga:Nunua spaghetti/Macaroni badala ya mchele,unga,no
Protein: Nunua Uyoga,Mayai,Soy meat badala ya Nyama na Samaki
Matunda:Yapo Zaidi ya Aina 20-Apples,Berries,Zabibu,Passion NK
Ukienda Migahawa chagua Ile ya Kichina,Kituruki,Kipindi watakupa version tofauti na Ugali Samaki.Kwa wachina huo Mchele Una mapishi Zaidi ya 10.
Ukichoka nenda hotelini menu inanpage 10.Kazi kwako,kama huwezi Kusoma menu mwambie mhudumu leta special meal of the day.Unaweza maliza hata Miaka Hujui wali wala ugali.Pesa yako Tu ndiyo mwongozo.
 
asalaleeeee! Mkuu kwa hichi ulichokiandika hapa wewe ndio mshamba wa pesa! fatilia kwa wenzetu dollar 500,300,200 ni pesa za kawaida tu sema inategemea unauchumi wakiwango gani!!.. usiseme hata mo hawezi sema wewe ndo hauwezi!.

sidhani hata kama ulishawahi kuona watu waki spend pesa wewe mtu anakaa hotel na analipa pesa hiyo kwa usiku mmoja na bado atanunua wine ya dollar 300 mpaka 700!.. na hanuni..🤣
usipoelewa sasahivi utakuja kuelewa hata kesho watu wanahela babu!.
Hiyo ni Kwa wenzetu , vip Kwa Tanzania dollar mia Tano na maisha ya watanzania tulio wengi ukiwemo mimi na wewe , could you afford to spend those amount quoted hereabove for how long ,tusiigize tunazungumza maisha ya Tanzania na watanzania wengi except the few ambao wapo financially well-off and kazi zao zinawapa nafasi ya kusafiri mara kwa mara
 
Nimejikuta hivi vyakula ni sehemu ya mlo wangu karibu Kila siku, ukiwa nyumbani utakuta pamepikwa , uingie mtaani hadithi ni Ile Ile, nimevichoka ila sasa sielewei najinasuaje , vyakula hivi ni 1. Wali 2. Ugali 3. Chips 4. Chapati 5. Ndizi na mboga hizi 1. Nyama 2. Samaki( samaki na dagaa) 3. Maharage 4. Mboga a majani marufu kama Chinese, vip unatoboaje na unavikwepaje, je unaweza toboa wiki usikutane na hiyo menu hapo juu,. Nimefanikiwa kukata matumizi ya soda na beverages nyingine nyingi, natumia maji tu ila kuhusu vyakula imekuwa kazi ngumu ,nenda mgahawani kwa mama lishe to hotelini misosi ni hiyo hiyo
Hii changamoto kwa watu wengi.
 
Najaribu kuzungumza mazingira ya Tanzania,ukubali ukatae tulio wengi safari ni Moja na tuna fanana sana kimaisha na kiuchumi, hebu fikiria hili kundi wafanyakazi wa serikali , wizara na Tamisemi , kundi la wafanya biashara walio wengi na wakulima unaowafahamu wewe wanaweza afford cost hizo za maisha, ukianza kuleta hadithi za marekani , sijui Canada utakuwa nje ya mada, unakwepaje hiii misosi maana ndiyo imejaa masokoni, otherwise ugeukie vyakula vya ajabu vya kizungu ambavyo ni hatar kwa afya
 
mh! watu local usije ukafikiri hawana pesa wanazo isipokuwa tu watu local wanaenda sehemu local ili kubana matumizi!, let's say ni ngumu mtanzania kwenda hotelini sio kwasababu ya gharama ni vile haoni kama kuna jipya maana kwa wageni wanapenda waogelee na waote jua,sasa wewe kitu kama hicho unaweza kukipata kwa kwenda beach ambapo hautalipishwa chochote!..

gharama kubwa za hotel zinakujaga kwenye malazi!,mfano hiyohiyo hotel mtu anayospend dollar 500 mtu anaweza kwenda ku enjoy kula,kunywa,kuogelea kuanzia asubuhi mpaka jioni kwa maana hakuchukua chumba na gharama haizidi laki mbili...! umegundua nini hapo..?
kuna hotel mtu alikuwa analala kwa dollar 520 lkn ku spend tu bila kuchukua room walikuwa wanalipisha tisini elfu!.

nafikiri mpaka hapo utakuwa umeelewa kitu.
 
Najaribu kuzungumza mazingira ya Tanzania,ukubali ukatae tulio wengi safari ni Moja na tuna fanana sana kimaisha na kiuchumi, hebu fikiria hili kundi wafanyakazi wa serikali , wizara na Tamisemi , kundi la wafanya biashara walio wengi na wakulima unaowafahamu wewe wanaweza afford cost hizo za maisha, ukianza kuleta hadithi za marekani , sijui Canada utakuwa nje ya mada, unakwepaje hiii misosi maana ndiyo imejaa masokoni, otherwise ugeukie vyakula vya ajabu vya kizungu ambavyo ni hatar kwa afya
swala lako la kuhusu watu na uchumi ndugu watu pesa wanazo! naomba niishie hapo tu!..

turudi kwenye mada yako ya chakula ni kweli ni ngumu kuepuka hivyo vyakula na ndio hivyohivyo vyakula utavikuta ktk jamii zote dunia hii, isipokuwa tu tofauti ni mapishi ngano ni ileile ila mwengine anapikia chapati na mwengine anapikia burger na piza!.. sasa kwakuwa huwezi kuepuka basi jaribu kubadili mapishi ya hivyohivyo vyakula..
unaweza ukafatilia upikaji tofauti wa jamii fulani mfano kuna vyakula vya kihindi unakuta wanatumia viazi mbatata lkn kuna namna yao wanavyovipika!. so usibadili vyakula ni ngumu ila badili mapishi kazi kwako.
 
Kihongo bongo ni ngumu labda kama unakula mgahawani ila km unaenda mara moja unaweza kuepuka
Kuna sea foods nying ukiachasamaki na dagaa
Oats ni chakula kizuri pia
Matunda
Kuna zile tambi sijui wanaita pasta na maji mengine zipo aina tofaut tofaut
 
asalaleeeee! Mkuu kwa hichi ulichokiandika hapa wewe ndio mshamba wa pesa! fatilia kwa wenzetu dollar 500,300,200 ni pesa za kawaida tu sema inategemea unauchumi wakiwango gani!!.. usiseme hata mo hawezi sema wewe ndo hauwezi!.

sidhani hata kama ulishawahi kuona watu waki spend pesa wewe mtu anakaa hotel na analipa pesa hiyo kwa usiku mmoja na bado atanunua wine ya dollar 300 mpaka 700!.. na hanuni..🤣
usipoelewa sasahivi utakuja kuelewa hata kesho watu wanahela babu!.
Sio kila siku..
Matajiri wapo makini sana na hela zao.
 
Nimejikuta hivi vyakula ni sehemu ya mlo wangu karibu Kila siku, ukiwa nyumbani utakuta pamepikwa , uingie mtaani hadithi ni Ile Ile, nimevichoka ila sasa sielewei najinasuaje , vyakula hivi ni 1. Wali 2. Ugali 3. Chips 4. Chapati 5. Ndizi na mboga hizi 1. Nyama 2. Samaki( samaki na dagaa) 3. Maharage 4. Mboga a majani marufu kama Chinese, vip unatoboaje na unavikwepaje, je unaweza toboa wiki usikutane na hiyo menu hapo juu,. Nimefanikiwa kukata matumizi ya soda na beverages nyingine nyingi, natumia maji tu ila kuhusu vyakula imekuwa kazi ngumu ,nenda mgahawani kwa mama lishe to hotelini misosi ni hiyo hiyo
Hakuna shida ya kula vyakula ulivyotaja ila tu;
Vyakula vya nafaka unavyokula e.g. wali, ugali., ngano, visiwe vimekobolewa.

Nyama zisiwe na mafuta mengi

Epuka sukari nyingi kwenye vyakula

Epuka mikaango

Kula green vegetables na matunda kwa wingi kila siku

Ni kweli hakuna creativity kwenye vyakula vya kitanzania, ongeza ubunifu kwenye kuandaa vyakula
 
Back
Top Bottom