hata wanawake wengine, my wife na joto la dar hili anaoga maji ya moto na kuoga asubuhi hakuna ugomvi ila jioni sasa daily lazima tugombane hataki kuoga, sometimes tukitoka kwenye sherehe na ma perfume anataka kulala hivyo hivyo, kwa hiyo mwenzenu nna kibarua cha kumwekea maji ya moto daily my wife wangu bafuni, nikichelewa tu akipanda kitandani tu kumuamsha ni kazi
Niko na wadada/wamama walioolewa hapa ofisini. Wameanzisha thread ya mashambulizi hapa wanasema Wanaume wengi ni kero kwelikweli!.
Eti hawaendi kuoga mpaka waambiwe, au kulazimishwa au kubembelezwa mara mbili tatu au nne, na mkewe ndo atanyanyuka KWENDA BAFUNI.
Eti wasipofanya hivyo mibaba mingi tu inapanda kitandani na kuanza kukuroma bila kuoga!
What i can say nimejifunza mengi sana kwenye huu mjadala mzito. Thanks alot wachangiaji hasa kwa wale walioko kwenye ndoa waliotoa personal experience pia wale waliotoa shared experience. Imekuwa mada ya mafundisho na mabadiliko sana. Big Up JF
..Mbu hilo nalo neno. Kama mwanamke alikubali kuolewa na bwana ambaye kuoga lazima akumbushwe that means aliyajua haya tangu enzi za uchumba/urafiki wao alitakiwa kumrekebisha tangu huko otherwise angemwaga tu. Sasa leo mko kwenye ndoa ndio unagundua kuwa jamaa kuoga shurti kwa filimbi??? Majungu tu hayo!!!...ama kupenda ni upofu, si ajabu tabia hizo zilikuwepo tangu enzi za mapenzi motomoto... iweje sasa imekuwa kero?
BTW, kisu kinakata kote kote...uchafu ni tabia ya mtu, haijalishi ni mwanamke au mwanaume, 'asili ni kovu la kudumu!'
Mamii naona una uchungu sana, usijali wapo watu wa aina hii, yani inaudhi we acha tu! unawezaje kulala bila kuoga lakini? kwanza mimi hata nkisema nijaribu itatokea hata usiku wa manane nakurupuka kuoga, maana hata usingizi siwezi pata ntaishia tu kugeuka kitandani, hata baada ya kudo lazima nioge ndo niwe confortable kulala peacefully.Mimi hii mada hata siitaki maana nikianza kuongea sitamaliza. Kuoga, uchafu asilia, bado hajatupa tupa nguo zake hovyo yaani kweli ni kazi hebu endeleeni kwanza
Mamii naona una uchungu sana, usijali wapo watu wa aina hii, yani inaudhi we acha tu! unawezaje kulala bila kuoga lakini? kwanza mimi hata nkisema nijaribu itatokea hata usiku wa manane nakurupuka kuoga, maana hata usingizi siwezi pata ntaishia tu kugeuka kitandani, hata baada ya kudo lazima nioge ndo niwe confortable kulala peacefully.