Shishi
JF-Expert Member
- Feb 11, 2008
- 1,242
- 42
hata wanawake wengine, my wife na joto la dar hili anaoga maji ya moto na kuoga asubuhi hakuna ugomvi ila jioni sasa daily lazima tugombane hataki kuoga, sometimes tukitoka kwenye sherehe na ma perfume anataka kulala hivyo hivyo, kwa hiyo mwenzenu nna kibarua cha kumwekea maji ya moto daily my wife wangu bafuni, nikichelewa tu akipanda kitandani tu kumuamsha ni kazi
maji moto na joto lote hilo??? ukitaka iwe rahisi kwake kuoga jioni make it fun, muoge nyote pamoja she will start looking forward!!