Unalijua kusudi lako wewe kuishi?

Unalijua kusudi lako wewe kuishi?

Okrap

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2022
Posts
1,112
Reaction score
2,311
Ikiwa una kusudi kubwa maishani, sio lazima uwe mtu wa kusukumwa sukumwa, bali shauku yako itakupeleka huko kwenye kusudi lako la kuishi.

Ikiwa una nguvu ya kujua kwa nini unaishi, utapata maana katika kila pambano utakalo pambana nalo maishani mwako.

Hukuzaliwa ili tu kula, kuzeeka na kufa. Kuna sababu ya kuwepo kwako duniani. Kazi yako ya kwanza duniani ni kujua kusudi lako. Mgawo wako wa pili ni kutimiza kusudi hilo.

Je, unalijua kusudi lako la kuishi duniani?
 
Ikiwa una kusudi kubwa maishani, sio lazima uwe mtu wa kusukumwa sukumwa, bali shauku yako itakupeleka huko kwenye kusudi lako la kuishi.

Ikiwa una nguvu ya kujua kwa nini unaishi, utapata maana katika kila pambano utakalo pambana nalo maishani mwako.

Hukuzaliwa ili tu kula, kuzeeka na kufa. Kuna sababu ya kuwepo kwako duniani. Kazi yako ya kwanza duniani ni kujua kusudi lako. Mgawo wako wa pili ni kutimiza kusudi hilo.

Je unalijua kusudi lako la kuishi duniani?
Kumuabudu Mungu....

Ibada za Mungu zinahusisha kujiheshimu ,kukataa ubaguzi wa aina zote ,kuwafanyia wema wengine kwa kuheshimu mipaka yao...kutojifanya mchamungu kuliko wengine,kutoingia katika maisha na haki za wengine....

Kujali yangu.....kufanya kazi kwa nguvu na kwa uaminifu....kupata pesa za kuyamudu maisha....kula bata na kula vizuri...."kukaza" sana na kuinjoi tendo la ndoa....na kusubiri KIFO........
 
Ikiwa una kusudi kubwa maishani, sio lazima uwe mtu wa kusukumwa sukumwa, bali shauku yako itakupeleka huko kwenye kusudi lako la kuishi.

Ikiwa una nguvu ya kujua kwa nini unaishi, utapata maana katika kila pambano utakalo pambana nalo maishani mwako.

Hukuzaliwa ili tu kula, kuzeeka na kufa. Kuna sababu ya kuwepo kwako duniani. Kazi yako ya kwanza duniani ni kujua kusudi lako. Mgawo wako wa pili ni kutimiza kusudi hilo.

Je unalijua kusudi lako la kuishi duniani?
Uliona ukinialika birthday 🎂 ntakufilisi kwa kuwa na kula sana cyo ...any way poa
 
Mada nzuri,
Huwa namuomba Mungu kila siku atimize kusudi lake la Uumbaji ktk maisha yangu.
Maana yeye ndiye alilijua kusudi ndio maana ameniumba ili niweze kuuliishi hilo.....
Kazana sana
 
Mwambieni mwenye mada ataje yeye kwanza kusudi lake sio mnakuwa wepesi kutaja makusudio yenu yeye hajataja huo ndio uchawa na umbea sugu..!
 
Mimi kufurahi na kuwakels
 
Back
Top Bottom