Unalijua kusudi lako wewe kuishi?

Unalijua kusudi lako wewe kuishi?

kuna ile wanasema, marehemu alizaliwa akaishi alafu akafa. Yaani nazurura tu huku duniani
 
Wengi wenu humu MAKUSUDI YENU ni kushabikia ZUCHU na MAYELE.

Mtu hana analofanya duniani zaidi ya kula maugali, kujamba na kuzaa.
 
Kusudi langu la kuwepo duniani ni kuzaa na kuijaza nchi, Mungu mwenyewe alitoa hilo agizo baada ya kuwaumba Adam na Hawa.
Sio kila mtu kaletwa kuzaa dunian[emoji23], na kusudi la mtu dunian sio kujazana, bali kutimiza mission maalum ambayo kila mtu anayo tofaut na mtu mwingine.
.
Ingekuwa kujaza dunia basi Mungu angewahamishia malaika wake wote dunian wajazane, ama angewaumba akina adamu wengi sana duniani wajae haraka[emoji23][emoji23].

Tuamkeni bana msizao hovyo kama wanyama, fanyeni yaliyo wapaswa kufanywa
 
Kwa hiyo wewe umeletwa duniani kwa kusudi gani?
 
45482a934e9e4e9f80ae0f067abe7fc9.jpg
 
Kila mtu hujiwekea malengo Yake ambayo anatamani kuyatimiza.
 
Back
Top Bottom