Kusudi langu la kuwepo duniani ni kuzaa na kuijaza nchi, Mungu mwenyewe alitoa hilo agizo baada ya kuwaumba Adam na Hawa.Kazi yako ya kwanza duniani ni kujua kusudi lako. Mgawo wako wa pili ni kutimiza kusudi hilo.
Je unalijua kusudi lako la kuishi duniani?
Aijaze? Dunia sio ndoo ya majiUmeijaza sasa
Bado sijaijaza maana wanawake wa uzao huu ni wachoyo wachoyo balaa ila nitaijaza duniani kabla sijaondoka dunianiUmeijaza sasa
Kumuabudu Mungu....Ikiwa una kusudi kubwa maishani, sio lazima uwe mtu wa kusukumwa sukumwa, bali shauku yako itakupeleka huko kwenye kusudi lako la kuishi.
Ikiwa una nguvu ya kujua kwa nini unaishi, utapata maana katika kila pambano utakalo pambana nalo maishani mwako.
Hukuzaliwa ili tu kula, kuzeeka na kufa. Kuna sababu ya kuwepo kwako duniani. Kazi yako ya kwanza duniani ni kujua kusudi lako. Mgawo wako wa pili ni kutimiza kusudi hilo.
Je unalijua kusudi lako la kuishi duniani?
Kuijaza idadi yake huanzia watoto wangapi ?!!!Bado sijaijaza maana wanawake wa uzao huu ni wachoyo wachoyo balaa ila nitaijaza duniani kabla sijaondoka duniani
Uliona ukinialika birthday π ntakufilisi kwa kuwa na kula sana cyo ...any way poaIkiwa una kusudi kubwa maishani, sio lazima uwe mtu wa kusukumwa sukumwa, bali shauku yako itakupeleka huko kwenye kusudi lako la kuishi.
Ikiwa una nguvu ya kujua kwa nini unaishi, utapata maana katika kila pambano utakalo pambana nalo maishani mwako.
Hukuzaliwa ili tu kula, kuzeeka na kufa. Kuna sababu ya kuwepo kwako duniani. Kazi yako ya kwanza duniani ni kujua kusudi lako. Mgawo wako wa pili ni kutimiza kusudi hilo.
Je unalijua kusudi lako la kuishi duniani?
20+Kuijaza idadi yake huanzia watoto wangapi ?!!!
Figo76 pita hapa kenzy ana neno nawe ππMwambieni mwenye mada ataje yeye kwanza kusudi lake
Vip kuhusu padri mushiKusudi langu la kuwepo duniani ni kuzaa na kuijaza nchi, Mungu mwenyewe alitoa hilo agizo baada ya kuwaumba Adam na Hawa.
Siwezi kumjibia ila kama baba yake mzazi alitimiza kusudi la kumleta duniani ni lazima na yeye atimize kusudi kwa kuijaza dunianiVip kuhusu padri mushi