Unalikumbuka kundi la TLC

Unalikumbuka kundi la TLC

tamimusalim

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2014
Posts
1,822
Reaction score
498
attachment.php

attachment.php

Ni kundi liliotikisa katika ulimwengu wa r&b uko marekani katikati mwa miaka ya tisini,kundi hili liliundwa na akina dada Lisa lopes,T boz na Chill na albam yao iliowapa umaarufu mkubwa ni ile waliozindua mwaka 1994 iliojulikana kama ;crazy sex cool" albam hii ilioandaliwa na producer nguli wakati ule dallas austin ilitokana na majina yao yaani lisa alijulikana kama cazy" yaani ni kichaa kweli awapo stage"Tbozz huyu alijulikana kama sex na kweli alikuwa sex yaani mrembo" na Chill huyu alijulikana kama cool nakweli alikuwa cool yaani mpole" miongoni mwa nyimbo ambazo zilizowaweka kwenye chart za billboard sana ni creep" na no srubs" kundi hili lilivunjika na kupotea kabisa hasa bahada ya kifo cha mwenzao LISA LOPEZ na mahasimu zao wakubwa walikuwa ni kundi la x-ecsape liliokuwa chini ya producer jumanne dupriJD pia change face,na swv.
 
Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1405401564.288174.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1405401564.288174.jpg
    22.1 KB · Views: 580
  • ImageUploadedByJamiiForums1405401596.680798.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1405401596.680798.jpg
    24.5 KB · Views: 571
Maskini Left eye... ajali hizi zilishagapoteza watu wengi sana
 
Si ndio waliimba ''red light special"??..nakumbuka nilipewa dedication na mrembo enzi hizo...utoto raha sana
 
easy e,fabolous,naughty by nature,luniz,dr dre,salt n paper,2pac,coolio,nk hiyo ilikuwa nk dom.
 
Hivi mke wa bekham alikuaga kundi gani vile?
 
TLC waligunduliwa na Peebles ambaye ni mke wa producer maarufu Antonio L.A Reid. Reid akawasainisha kwenye lebo ya Laface ambayo ilikuwa ni ubia wa Reid na super-producer mwingine Kenneth "Babyface" Edmonds. Albamu yao ya kwanza ilikuwa ni "Oooh...On The TLC Tip" (1994) ambayo ilikuwa na hit singles kama "ain't 2 proud 2 beg", "what about your friends" na "baby baby Baby".

Albamu yao ya pili, "Crazysexycool" (1996)ndio iliwapandisha chati sana kupitia nyimbo zilizo-hit sana za "creep", "red light special", "waterfalls" na "digging on you". Mwaka 2000 walitoa "Fanmail" iliyokuwa na wimbo maarufu sana wa "no scrub".

Baada ya hapo mwaka 2001 walianza rekodi albamu yao ya nne inayoitwa "3D". wakiwa katikati ya kutengeneza "3D" Lisa "Left Eye alifariki kwa ajali ya gari huko Honduras. T-Boz na Chilli waliamua kumalizia albamu hiyo na kuitoa mwaka 2004. "3D" haikufanya vizuri sana na baada ya kufanya Tour ya kuipromoti Chilli na T-Boz waliamua kupumzika kurekodi ingawa wamekuwa wakitumbuiza kwenye matamasha mbalimbali.
 
kaka we kiboko tukiungana tunaweza kutoa makala moja matata big up mzee
 
Likitajwa kundi la TLC nawakumbuka pia SWV
 
kaka we kiboko tukiungana tunaweza kutoa makala moja matata big up mzee

Unganeni mtoa makala elimishi kwa ambao hawakulijua kundi hilo. By the way, katika albam zao, hiyo 3D ndio ambayo sina. Nyingine ninazo, zikiwa na vitabu vyake vya mashairi.
 
Back
Top Bottom