Unalipi la kuzungumza au ushawai kula hii kitu wapi

Duuuh hauozi?
Wanadai hauozi kwa muda wa siku kadhaa. Wakati wa misukosuko ya wakimbizi kwakuwa walitangatanga hivyo walibuni aina hiyo ya chakula ambacho kiliwasaidia sana kusafiri nacho kutoka sehemu moja hadi nyingine kwa siku kadhaa kabla hawajapata suluhisho la chakula kingine.

Wao wanaita LOME kama kumbukumbu zangu zipo sahihi maana ni muda umepita tangu nilipokuwa maeneo ya Buhigwe Kigoma
 
Huko ndio najua kuna Wahutu wengi sana maeneo hayo
 
Bumunda. Ndizi mbivu na sembe zinawekwa kwenye majan ya mgomba alafu unafunga na kufunika na mkaa au kun
 
Wa Mahindi?
Ni ugali wa mihogo. Mihogo inachakatwa kwa hatua mbalimbali. Ugali huu ni maalum kwa ajili ya majanga hasa wakati wa vita. Hutengenezwa na kuhifadhiwa kwenye majani ya migomba na ikitokea vita wakimbizi hubeba Lowe kwà kula hadi misaada itakapowafikia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…