RMK Freelancers Agency
JF-Expert Member
- Jan 15, 2025
- 397
- 442
- Thread starter
- #221
Karibu tena next time Kwa UshauriOk shukrani kwa taarifa
Karibu tena next time Kwa UshauriOk shukrani kwa taarifa
Karibu tena next time, Kwa UshauriOk shukrani kwa taarifa
🤣🤣🤣mkuu nunua tu ya chupa...mtaishia kupanga kwenye mapagale yetu fainali uzeeni
Hapo kwenye zaka nimfaidishe mwamposa no way!Mshahara ni laki tano kwa mwezi.
Goal: To cut expenses, And save more while investing for long term!
Tuchambue bila hisia.
Monthly Income: 500,000 TZS
Kama unaishi Dar au mji wowote, kama hujajenga mfumo, pesa itaisha kabla mwezi haujaisha.
Hivi ndivyo unatakiwa kuishi kama una akili ya kujenga future.
---
1. Kodi ya chumba ≤ 50,000
Ndiyo. Chumba.
Ndiyo. Uswahilini.
Ndiyo. Shared environment
Ndio, single....
Kama unalipwa 500k halafu kodi ni 250k, tayari umefeli kabla ya kuanza.
Luxury inakuja after discipline, sio starting point!
KWAHIYO KAMA UNALIPWA LAKI TANO NA UNALIPA KODI ZAIDI YA 60K KWA MWEZI, UNAFAKE LIFE!
2. Chakula & Maji = 5,000 kwa siku
≈ 150,000 kwa mwezi
Naam! Ugali tembele, ugali dagaa, wali maharagwe, wali na broiler, matunda ya buguruni, Mayai ya kuchemsha kwa ugali!
Kwenda shopers Supermarkets hii sio hadhi yako kwa sasa!
ACHA KUFAKE LIFE!
3. Usafiri = 2,000 kwa siku
≈ 60,000 kwa mwezi
Sahau kuhusu uber, Sahau kuhusu bolt! Rudi nyumbani kumenoga...daladala, mwendokasi. Umbali chini ya 1 KM tembea, kwanza ukitembea unapata Afya!
Kama una 500k halafu unataka Bolt kila siku, unajidanganya, Yeah UNAFAKE LIFE!
4. Internet = 20,000
Punguza scrolling, hakuna kitu unafaidika kuangalia ndaro na Steve mweusi wakifanya nonsense!
5. Security & City Bills = 5,000
Hii ipo baadhi ya manispaa za Dar, maeneo mengine hakuna!
6. Umeme & Maji = 15,000
Mara nyingi kwenye nyumba za kupanga umeme na maji gharama huwa haivuki hapo.
7. Health (75,000 annually) ≈ 6,300 monthly
You got that? Acha ujuaji kata bima!
8. Mavazi & Misc = 40,000
Kariakoo jinzi elfu kumi, suruali za kitambaa elfu tano.
Wewe unataka kelvin klein jeans ya 40k, Mike Amiri 70k, Jordan 4 za bei ndefu, Ili uonekane, then???
Acha kufake life!
Total ≈ 350,000 TZS
Remaining = 150,000 TZS
NICE!!!.
You saved 30% of your income!, Karibu kuadjust iongezeke!
Allocation yenye Discipline ya kiwango cha Kimataifa au interplanetary level of discipline never achieved even by Alliens!
Emergency Fund = 35,000
Dharula hazina hodi, weka emergency fund ili uwe na peace of mind!
Investment = 50,000
Peleka kwenye stocks. Tulia.
Long-term strategy.
Savings / Capital Reserve = 50,000
Kwa ajili ya biashara ya baadae, kumbuka lazima uongeze source of income! Hivyo kusave kwa ajili ya biashara ni non-negotiable!!!
Tithes = 15,000
Kwa ndugu zangu wa fungu la kumi!
(Kwa wanaoamini katika principle ya kutoa. Hii ni personal conviction.)
Kama huamini, hii pesa mtumie mama nyumbani, au shemeji yetu!
So....
Tatizo si laki 5.
Tatizo ni ego.
Watu wanataka kuonekana wamefika kabla hawajafika.
Ukiweza kusimamia 500k kwa miaka 2–3 kwa discipline:
- Utakuwa na emergency fund imara
- Utakuwa na investment portfolio
-Utakuwa na capital ya kuanzisha kitu
Lakini kama unashindwa sasa, hata ukilipwa milioni 2 utaishi milioni 2.
Income hu-amplify tabia, hairekebishi tabia.
Swali la mjadala:
KWA UFUPI SANA, NAOMBA KUWASILISHA!
UNATAKA KUJIFUNZA ZAIDI KUHUSU PERSONAL FINANCE AND INVESTMENT, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA CHINI!
Uko sahihi, Ikiwa kuna gharama nafuu basi vyema kununua huko. Hii sio mentality ya uongo, ni uhalisia bidhaa nyingi za supermarkets huwa na bei juu kidogo ukilinganisha na wauzaji wa mtaani.Kuna mentality mbaya sana ya kuona supermarkets ni kwa washua hata mimi nilikuwa napaogopa sana....Supermarkets vitu bei za kawaida sana na vitu vyao ni OG .....sabuni za kuogea na mafuta mgando,dawa za mswaki na kiswaki yake n.k vya mtaani miyayusho mno fake everywhere.
Hata ukitaka imported beer nakushauri kachukue supermarkets achana na liquor store.
Toa zaka wewe.
Wait, Jane!Karibu, ehe nifanyeje? Maana niliwaza the only solution ni ku grow my sales na kujiongezea mshahara
Vipi hela ya manzi au ndo usajili wa kudumu CHAPUTA a.k.a Bakari Mwamnyeto.Mshahara ni laki tano kwa mwezi.
Goal: To cut expenses, And save more while investing for long term!
Tuchambue bila hisia.
Monthly Income: 500,000 TZS
Kama unaishi Dar au mji wowote, kama hujajenga mfumo, pesa itaisha kabla mwezi haujaisha.
Hivi ndivyo unatakiwa kuishi kama una akili ya kujenga future.
---
1. Kodi ya chumba ≤ 50,000
Ndiyo. Chumba.
Ndiyo. Uswahilini.
Ndiyo. Shared environment
Ndio, single....
Kama unalipwa 500k halafu kodi ni 250k, tayari umefeli kabla ya kuanza.
Luxury inakuja after discipline, sio starting point!
KWAHIYO KAMA UNALIPWA LAKI TANO NA UNALIPA KODI ZAIDI YA 60K KWA MWEZI, UNAFAKE LIFE!
2. Chakula & Maji = 5,000 kwa siku
≈ 150,000 kwa mwezi
Naam! Ugali tembele, ugali dagaa, wali maharagwe, wali na broiler, matunda ya buguruni, Mayai ya kuchemsha kwa ugali!
Kwenda shopers Supermarkets hii sio hadhi yako kwa sasa!
ACHA KUFAKE LIFE!
3. Usafiri = 2,000 kwa siku
≈ 60,000 kwa mwezi
Sahau kuhusu uber, Sahau kuhusu bolt! Rudi nyumbani kumenoga...daladala, mwendokasi. Umbali chini ya 1 KM tembea, kwanza ukitembea unapata Afya!
Kama una 500k halafu unataka Bolt kila siku, unajidanganya, Yeah UNAFAKE LIFE!
4. Internet = 20,000
Punguza scrolling, hakuna kitu unafaidika kuangalia ndaro na Steve mweusi wakifanya nonsense!
5. Security & City Bills = 5,000
Hii ipo baadhi ya manispaa za Dar, maeneo mengine hakuna!
6. Umeme & Maji = 15,000
Mara nyingi kwenye nyumba za kupanga umeme na maji gharama huwa haivuki hapo.
7. Health (75,000 annually) ≈ 6,300 monthly
You got that? Acha ujuaji kata bima!
8. Mavazi & Misc = 40,000
Kariakoo jinzi elfu kumi, suruali za kitambaa elfu tano.
Wewe unataka kelvin klein jeans ya 40k, Mike Amiri 70k, Jordan 4 za bei ndefu, Ili uonekane, then???
Acha kufake life!
Total ≈ 350,000 TZS
Remaining = 150,000 TZS
NICE!!!.
You saved 30% of your income!, Karibu kuadjust iongezeke!
Allocation yenye Discipline ya kiwango cha Kimataifa au interplanetary level of discipline never achieved even by Alliens!
Emergency Fund = 35,000
Dharula hazina hodi, weka emergency fund ili uwe na peace of mind!
Investment = 50,000
Peleka kwenye stocks. Tulia.
Long-term strategy.
Savings / Capital Reserve = 50,000
Kwa ajili ya biashara ya baadae, kumbuka lazima uongeze source of income! Hivyo kusave kwa ajili ya biashara ni non-negotiable!!!
Tithes = 15,000
Kwa ndugu zangu wa fungu la kumi!
(Kwa wanaoamini katika principle ya kutoa. Hii ni personal conviction.)
Kama huamini, hii pesa mtumie mama nyumbani, au shemeji yetu!
So....
Tatizo si laki 5.
Tatizo ni ego.
Watu wanataka kuonekana wamefika kabla hawajafika.
Ukiweza kusimamia 500k kwa miaka 2–3 kwa discipline:
- Utakuwa na emergency fund imara
- Utakuwa na investment portfolio
-Utakuwa na capital ya kuanzisha kitu
Lakini kama unashindwa sasa, hata ukilipwa milioni 2 utaishi milioni 2.
Income hu-amplify tabia, hairekebishi tabia.
Unahitaji msaada kwenye maswala ya kifedha na uwekezaji?
Wasiliana na mimi PM au tuma Message WATSAPP; +255 737 450 640
Swali la mjadala:
KWA UFUPI SANA, NAOMBA KUWASILISHA!
UNATAKA KUJIFUNZA ZAIDI KUHUSU PERSONAL FINANCE AND INVESTMENT, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA CHINI!
Graduate?Hivi wewe kweli hujui kuwa hapa Tz kuna watu wanalipwa 500k au chini ya hapo?
Nazungumzia experience yangu mkuu maana hata mwanafunzi wa UDSM anavuta zaidi ya hiyo kwenye Boom + Stationaries + Field allowanaces.Wabongo bhana 😂
Kabisa maana bongo kila mtu anapandisha bei anavyojisikia ,hakuna wa kumcontrol.Kwa Bongo hii ukiongeza mishahara chap na gharama za maisha zinapanda immediately
Nakubali mkuu 😂Nazungumzia experience yangu mkuu maana hata mwanafunzi wa UDSM anavuta zaidi ya hiyo kwenye Boom + Stationaries + Field allowanaces.
Hiyo hela nilikuwa nalipwa miaka 23 iliopita ndiyo maana nashangaa kama kuna mwajiri anamlipa graduate hiyo pesa kwa mwezi.
Umetoa sana fungu la kumi bila kuelewa unafanya nn 😂 pole sana bibieNaumia sana, ishia hapo mkuu🥹
Niache tu Bwana atanibariki kwa njia nyingine🥹Umetoa sana fungu la kumi bila kuelewa unafanya nn 😂 pole sana bibie
Nakumbuka Mshahara wangu wa kwanza as baada ya kuwa certified professional ni hiyo laki tano.
But, maajabu ni kuwa nilijipinda mno kulinganisha na kiwango baada ya kuwa mkongwe.
Nimekuja gundua, ukilipwa mshahara kidogo ndio unafanya mambo makubwa kuliko mshahara mkubwa.
Hi ni kwa wanaume haswaHela ya pedi hapo iko wapi?
Na kusuka/kunyoa?
Mafuta ya kupaka je?
Pesa ya taka?
Sabuni ya kuogea na kufulia?
Kwa hizo pirika za kugombea usafiri maji ya kunywa labda achote ya bomba lita 5 aende nayo ofisini. Bajeti ya chakula na maji ndogo. Labda Kama atashindia kacholi..!!