Unalipwa 500,000 TZS? Jaribu kuishi hivi!

Unalipwa 500,000 TZS? Jaribu kuishi hivi!

Watu wanalipwa laki na nusu ila kazi hawaachi hata kwa viboko,mjini ushaambiwa shule 🤓mshahara laki unusu kila siku mtu anatoka na elfu 50
 
Laki 5 kwa Mwezi labda kwa Single ambaye hana Demu ndiyo anaweza kusurvive tena kwa shida.

Hivi kuna mwajiri anamlipa mtu laki 5 kwa mwezi kweli tena aliyesoma?

Ningekuwa na Madaraka ningeweka standard ukiajiri mtu minimum net salary kwa non professional ni 1m na kwa professional ni 3m.
Wahindi wanalipa 300k we unasemea 500k?
 
Nalipwa milion mbili na betting kwa wiki baada ya siku tatu imeisha hiyo sina nyumb wala baiskel ni kutumbua na watoto wazur mara singida mara china kosa vita kidogo niwe israel kula wayahud
 
If that really matter to them, they can do!
There's a lot of free things that are funny to enjoy, Why bother to pay just to have funny, no I mean just to trick your mind to act like a fool?
We shouldn’t spend all the time just working and doing all that saving and investing staffs without even enjoying ourselves. With that little you get, try also to do something that gives you some relaxation or enjoyment, even if it costs a small amount. I mentioned alcohol just as an example.

You don't have to wait for a specific time to enjoy yourself.
 
That's right!
 
Back
Top Bottom