Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 54,814
- 133,717
Naomba ushauri bossStill unaweza kuweka budget!!!
Kama unataka ushauri, omba!
Naomba ushauri bossStill unaweza kuweka budget!!!
Kama unataka ushauri, omba!
Ahsante mkuu.Nakumbuka Mshahara wangu wa kwanza as baada ya kuwa certified professional ni hiyo laki tano.
But, maajabu ni kuwa nilijipinda mno kulinganisha na kiwango baada ya kuwa mkongwe.
Nimekuja gundua, ukilipwa mshahara kidogo ndio unafanya mambo makubwa kuliko mshahara mkubwa.
Sawa, Tupe muongozo wakoNani kakwambia natumia laki kwa siku msosi tu?? Au safari ndo zimeanza kufanya kazi kichwani.
Huyu mzee sio secretarybird kweli?Mlinzi fulani anakula 150k na wana zungushwa kishenzi.
bila posho na deal za hapa na pale, yule mzee asinge toboa.
Bora dunia isimame nishukeNakumbuka Mshahara wangu wa kwanza as baada ya kuwa certified professional ni hiyo laki tano.
But, maajabu ni kuwa nilijipinda mno kulinganisha na kiwango baada ya kuwa mkongwe.
Nimekuja gundua, ukilipwa mshahara kidogo ndio unafanya mambo makubwa kuliko mshahara mkubwa.
Ngoja nimuwekee ugoro kwenye chaiHuyu mzee sio secretarybird kweli?
Mwongozo wa nini sasa mkuu?? Maisha hayana fomular, just live it the best way you can. YOLOSawa, Tupe muongozo wako
Watu wanakunja 3m kila mwezi na kila ikifika 15th wanaomba salary advance 😅😅 haya maisha bwana, 'kadri unavyopanua...."Nakumbuka Mshahara wangu wa kwanza as baada ya kuwa certified professional ni hiyo laki tano.
But, maajabu ni kuwa nilijipinda mno kulinganisha na kiwango baada ya kuwa mkongwe.
Nimekuja gundua, ukilipwa mshahara kidogo ndio unafanya mambo makubwa kuliko mshahara mkubwa.
Sasa ulikuwa unapingapinga nnMwongozo wa nini sasa mkuu?? Maisha hayana fomular, just live it the best way you can. YOLO
Achana na matapeli wa madhabauniFungu la 10 ni elfu 50 baba😊
Nimeweka elfu mbili kwa sababu mkuu.Eti usafiri buku mbili kwa siku.. Bange mbaya sana, hujui mtu anako ishi na bado unampanfia nauli kizembe hivo
ukiwasikiliza hawa washauri wanaojifanya wameishi hapa duniani mara tatu unaweza ukajikuta upo futi sita chini.Ndo mnanichanganya kabisa.
tukijibana mnasema kula vizuri, vaa vizuri pendeza, jipende maisha yenyewe ni haya haya, epuka vidonda vya tumbo!
tukianza kuzitumbua mnaleta tena mambo kama haya.
Mkuu, imani za watuAchana na matapeli wa madhabauni
Unalipwa na nani?Mm nalipwa 200,000
Kosa kubwa kuliko yote ni "kupinga kila kitu" ni vizuri ukawa na open mind. Listen/read then judge by logic not emotions.ukiwasikiliza hawa washauri wanaojifanya wameishi hapa duniani mara tatu unaweza ukajikuta upo futi sita chini.
Lipia ushauriNaomba ushauri boss
Dah.. Anyway, nisije nikaonekana nipo negative sana muda wote, though i think this was very unnecessaryNimeweka elfu mbili kwa sababu mkuu.
Moja, maeneo mengine mengi nauli ni Tshs 500 kwenda, 500 jumla 1000 kurudi ila nimeweka 2000 kwa wale wanaopanda magari mawili.
Pili, ikiwa unalipa nauli zaidi ya hiyo basi bila shaka huenda ukawa unaishi pembezoni mwa mji ambapo unaweza kulipa kodi ya nyumba hadi 30k hivyo si vibaya ukatumia zaidi pesa kwenye usafiri.
Mwisho, ni vizuri uka-think outside the box.
Sio lazima gharama zako ziwe kama nilivyoandika hapo. Cha msingi ni kuwa flexible ili kuepuka kuishi maisha ya gharama na kusave pesa.
Unalipwa na nani?