Unalipwa 500,000 TZS? Jaribu kuishi hivi!

Unalipwa 500,000 TZS? Jaribu kuishi hivi!

Sasa spongebob utaweza kunifanyia maintenance kweli wewe!?🤔
Mambo madogo tu hayo chimama ,nikishaongea na babu pale getini tunapiga deal Moja la la kuishi miezi 6 kibosi, alafu 180 yetu tunatumia kulipia WiFi.
Hapo bado sijampiga kanji
 
I repeat, usifate exactly namba zangu. Weka zako zinazoendana na uhalisia wako. Goal is to cut expenses. Kama kuna ulazima wa kunywa litre 10 za maji basi hiyo expense ni ya lazima, angalia expense nyingine ambayo si ya lazima ikate.
Senkyu saa.. Nadhani kwa siku inatakiwa unywe lita 30 za maji safi na salama.
 
Nakumbuka Mshahara wangu wa kwanza as baada ya kuwa certified professional ni hiyo laki tano.

But, maajabu ni kuwa nilijipinda mno kulinganisha na kiwango baada ya kuwa mkongwe.

Nimekuja gundua, ukilipwa mshahara kidogo ndio unafanya mambo makubwa kuliko mshahara mkubwa.
Mara nyingi mshahara mkubwa unakukuta una experience kazini, ndipo unapanda ngazi. Na unakuta una majukumu tiyari kama mke na mtoto/watoto. Hivyo unatumikia familia kuliko pale mwanzoni ulipokuwa mwenyewe.
 
Nafikiri hapo cha umuhimu ushauri mzuri ni mtu kwanza afanye saving ya 20% au 10% ya mshahara wake

Hayo matumizi mengine usimpangie akishatoa saving, kwa ground maisha yana mambo mengi sana mkuu
Ndio boss, ila 10% au 20% bado si sawa. Ni vyema ukasave >30% of income!
 
Back
Top Bottom