Mkuu🤣🤣🤣Wiki ya kwanza ya mshahara:
Kaka tuma hela nyumbani baba mgonjwa
Wiki ya pili:
Mwanangu unakumbuka lile deni, sasa wamenikalia kooni, itabidi niabidhio wewe ndio kiongozi sasa
Wiki ya tatu:
Tumefiwa na mjomba wako, na familia haina hata hela mazishi, kwa hiyo tunahitajio mchango wako:
Wiki ya nne:
.............................................
🤣🤣🤣 fix fix hapo mkuu. UkajipongezeHiyo bajeti sio mbaya ila siwezi fanya kazi afu end month nisichangamshe kichwa ebu anza tena afu uweke laki ya bia na nyamchom hapo ndo ntakuelewa.
U are wasting so much energy on that fool! Huyo huwa ana kauli chafu chafu tu na mbishi kila mada anapinga tu haijalishi umeongea nn ni kupinga tu! Kuna watu wanafikiri kuwa gT ni kuwa mpingaji tu, hafikirii hana self awareness sijui yuko insecured! So confused specie🤦🏽♀️Hapana, nimegundua ni "much know" "closed mind" and "poor at communication". Hivyo kubishana nae ingekuwa wastage of energy and resources.
Thanks to;
"How to win friends and influence people" by Dale Carnegue
Ndio maana ni kasema. Kila Ushauri ni sawa ukitegemeana unataka nini.Mkuu ondoa fedha kama mafanikio na uangalie uzur wa maisha
Unaweka akiba miaka saba, mwaka wa nane unapata ajari unakufa.. Utaenda kudhalilika sana kuzimu.Furahia maisha mkuu Hawa wanajua wataishi milele
Kuna mfumo ambao inabidi ufutwe aiseUnaweka akiba miaka saba, mwaka wa nane unapata ajari unakufa.. Utaenda kudhalilika sana kuzimu.
Hawa ndio wale wanasema " Punguza Ushauri " huku anaishi kwenye madeni!Kuna mtu ananizidi mshahara mara nne, kabla ya marupurupu ila sina mwaka kazini lakini ameishanikopa mara tano. Ila yeye na wenzake wakimaliza kazi wanapita viwanja wanajua mademu kila kona. Ukifanya uchukue funguo zao, saa mbili usiku ndio wanagundua kumbe hawajabeba funguo wakati kazini wametoka saa kumi. Wakienda semina sijui safari, wanapanga mademu kabla. They are in 40s, 50s.
DuuhHuo ni mshahara au posho?
What a useless citizen, Tz and his parents wamepata hasara 🤣U are wasting so much energy on that fool! Huyo huwa ana kauli chafu chafu tu na mbishi kila mada anapinga tu haijalishi umeongea nn ni kupinga tu! Kuna watu wanafikiri kuwa gT ni kuwa mpingaji tu, hafikirii hana self awareness sijui yuko insecured! So confused specie🤦🏽♀️
I seeUnaweka akiba miaka saba, mwaka wa nane unapata ajari unakufa.. Utaenda kudhalilika sana kuzimu.
Usiniulize maswali ya kikenge sema kampuni gani inatoa bima ya afya ya mwaka ya hiyo bei!!Una uhakika hujawahi kuiona?
Umenisona eh🤠😎sahihi
My bad!Usiniulize maswali ya kikenge sema kampuni gani inatoa bima ya afya ya mwaka ya hiyo bei!!
Kwamba usipoweka akiba hufi?Unaweka akiba miaka saba, mwaka wa nane unapata ajari unakufa.. Utaenda kudhalilika sana kuzimu.
Voda bima...Yas pia wanayo.Usiniulize maswali ya kikenge sema kampuni gani inatoa bima ya afya ya mwaka ya hiyo bei!!
UnakufaKwamba usipoweka akila hufi?