Unalipwa 500,000 TZS? Jaribu kuishi hivi!

Unalipwa 500,000 TZS? Jaribu kuishi hivi!

Nimeweka elfu mbili kwa sababu mkuu.
Moja, maeneo mengine mengi nauli ni Tshs 500 kwenda, 500 jumla 1000 kurudi ila nimeweka 2000 kwa wale wanaopanda magari mawili.
Pili, ikiwa unalipa nauli zaidi ya hiyo basi bila shaka huenda ukawa unaishi pembezoni mwa mji ambapo unaweza kulipa kodi ya nyumba hadi 30k hivyo si vibaya ukatumia zaidi pesa kwenye usafiri.
Mwisho, ni vizuri uka-think outside the box.
Sio lazima gharama zako ziwe kama nilivyoandika hapo. Cha msingi ni kuwa flexible ili kuepuka kuishi maisha ya gharama na kusave pesa.
Achana na huyo kiazi
 
Wiki ya kwanza ya mshahara:
Kaka tuma hela nyumbani baba mgonjwa

Wiki ya pili:
Mwanangu unakumbuka lile deni, sasa wamenikalia kooni, itabidi nikukabidhi wewe ndio kiongozi sasa

Wiki ya tatu:
Tumefiwa na mjomba wako, na familia haina hata hela mazishi, kwa hiyo tunahitajio mchango wako:

Wiki ya nne:
.............................................
 
Watu wanakunja 3m kila mwezi na kila ikifika 15th wanaomba salary advance 😅😅 haya maisha bwana, 'kadri unavyopanua...."
Kuna mtu ananizidi mshahara mara nne, kabla ya marupurupu ila sina mwaka kazini lakini ameishanikopa mara tano. Ila yeye na wenzake wakimaliza kazi wanapita viwanja wanajua mademu kila kona. Ukifanya uchukue funguo zao, saa mbili usiku ndio wanagundua kumbe hawajabeba funguo wakati kazini wametoka saa kumi. Wakienda semina sijui safari, wanapanga mademu kabla. They are in 40s, 50s.
 
Wiki ya kwanza ya mshahara:
Kaka tuma hela nyumbani baba mgonjwa

Wiki ya pili:
Mwanangu unakumbuka lile deni, sasa wamenikalia kooni, itabidi niabidhio wewe ndio kiongozi sasa

Wiki ya tatu:
Tumefiwa na mjomba wako, na familia haina hata hela mazishi, kwa hiyo tunahitajio mchango wako:

Wiki ya nne:
.............................................
Wiki ya nne babu yako amemeza shoka😂
Wiki ya 5 binti ulompa mimba kajifunguaa..
 
Yaani unamuomba msamaha umeandika ukutani kwake? Ulimuita kweye nyuzi yako? Duhh kweli kaka umestaarabika🫠
Hapana, nimegundua ni "much know" "closed mind" and "poor at communication". Hivyo kubishana nae ingekuwa wastage of energy and resources.
Thanks to;
"How to win friends and influence people" by Dale Carnegue
 
Back
Top Bottom