Unalipwa 500,000 TZS? Jaribu kuishi hivi!

Ahsante mkuu.
 
Bora dunia isimame nishuke
 
Watu wanakunja 3m kila mwezi na kila ikifika 15th wanaomba salary advance 😅😅 haya maisha bwana, 'kadri unavyopanua...."
 
Eti usafiri buku mbili kwa siku.. Bange mbaya sana, hujui mtu anako ishi na bado unampanfia nauli kizembe hivo
Nimeweka elfu mbili kwa sababu mkuu.
Moja, maeneo mengine mengi nauli ni Tshs 500 kwenda, 500 jumla 1000 kurudi ila nimeweka 2000 kwa wale wanaopanda magari mawili.
Pili, ikiwa unalipa nauli zaidi ya hiyo basi bila shaka huenda ukawa unaishi pembezoni mwa mji ambapo unaweza kulipa kodi ya nyumba hadi 30k hivyo si vibaya ukatumia zaidi pesa kwenye usafiri.
Mwisho, ni vizuri uka-think outside the box.
Sio lazima gharama zako ziwe kama nilivyoandika hapo. Cha msingi ni kuwa flexible ili kuepuka kuishi maisha ya gharama na kusave pesa.
 
Dah.. Anyway, nisije nikaonekana nipo negative sana muda wote, though i think this was very unnecessary
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…