Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 46,410
- 114,823
Yani upate chumba cha 50K alafu usafiri isizidi tsh 2000 kwa siku tena mjini ni ngumu sana. Mleta mada ana hoja nzuri ila mazingira halisi yanakinzana na hoja zake.Eti usafiri buku mbili kwa siku.. Bange mbaya sana, hujui mtu anako ishi na bado unampanfia nauli kizembe hivo
Ni uamuzi wako unaweza hata kutumia 10,000 kwa siku. Ila kwa kipato hicho yeye kashauri 2000. Utaamua upande daladala na kutembea baadhi ya sehemu au uendelee kutumia bajaj na bodaboda hata sehemu ya kutembea.Eti usafiri buku mbili kwa siku.. Bange mbaya sana, hujui mtu anako ishi na bado unampanfia nauli kizembe hivo
Inategemea unafanya wapi kazi zako.Yani upate chumba cha 50K alafu usafiri isizidi tsh 2000 kwa siku tena mjini ni ngumu sana. Mleta mada ana hoja nzuri ila mazingira halisi yanakinzana na hoja zake.
Mlinzi fulani gani wakati n wewe, Deals gani wezi sana nyie walinzi tofauti na kuosha magari ya maboss na kufyeka fyeka deals nyingine ni uhaini tu.Mlinzi fulani anakula 150k na wana zungushwa kishenzi.
bila posho na deal za hapa na pale, yule mzee asinge toboa.
Mkuu unaweza kutumia hata 50,000 kula jwa siku haupangiwi huu ni ushaurri tu. Kuna watu wanakunywa maji ya bomba. Kuna dehemu chakula 1000 au 1500 poa kabisa.Watu kama nyie siwapendi sana.. Mnaojifanya mnajua saana maisha. Buku tano kwa siku unakula na kunywa inatoshaje?? maji kwa siku unakunywa robo lita? au unashindia kandolo?? toka hapa
Kwa tunaofanya kazi city center na makazi ni kigamboni, mbezi, goba, tabata n.k kwa mikoani sijui ila kwa dar kuna maeneo ukiwa unaishi nauli inaongezeka.Inategemea unafanya wapi kazi zako.
Hebu mueleze mtoa mada hiyo lakitano inabidi iliwe kwa muda gani.. Naona hajui mnavoishi matajiriTupo mkuu
Hata hivo sidhani kama hivyo ni vitu vya kushauri mtuYani upate chumba cha 50K alafu usafiri isizidi tsh 2000 kwa siku tena mjini ni ngumu sana. Mleta mada ana hoja nzuri ila mazingira halisi yanakinzana na hoja zake.
Hivi wewe kweli hujui kuwa hapa Tz kuna watu wanalipwa 500k au chini ya hapo?Laki 5 kwa Mwezi labda kwa Single ambaye hana Demu ndiyo anaweza kusurvive tena kwa shida.
Hivi kuna mwajiri anamlipa mtu laki 5 kwa mwezi kweli tena aliyesoma?
Ningekuwa na Madaraka ningeweka standard ukiajiri mtu minimum net salary kwa non professional ni 1m na kwa professional ni 3m.
Chamsingi uhakikishe buku mbili imekatika kwa sikuNi uamuzi wako unaweza hata kutumia 10,000 kwa siku. Ila kwa kipato hicho yeye kashauri 2000. Utaamua upande daladala na kutembea baadhi ya sehemu au uendelee kutumia bajaj na bodaboda hata sehemu ya kutembea.
Kuna usem aa ngoja nitumie raha jipe mwemyewe.kwa hi mtu akikamata hio laki tanp anailia kuku supu n.k ,Ni uamuzi wako unaweza hata kutumia 10,000 kwa siku. Ila kwa kipato hicho yeye kashauri 2000. Utaamua upande daladala na kutembea baadhi ya sehemu au uendelee kutumia bajaj na bodaboda hata sehemu ya kutembea.
Ila watu wengi wanatumia hela nyingi kwenye bodaboda na bajaj. Unakuta anapoenda daladala inafika ila anang'ang'ania bodaboda. BTW ni hela zao wana haki ya kutumia watakavyp.Kwa tunaofanya kazi city center na makazi ni kigamboni, mbezi, goba, tabata n.k kwa mikoani sijui ila kwa dar kuna maeneo ukiwa unaishi nauli inaongezeka.
Kuna sehem kuna chapati za miamiaπMkuu unaweza kutumia hata 50,000 kula jwa siku haupangiwi huu ni ushaurri tu. Kuna watu wanakunywa maji ya bomba. Kuna dehemu chakula 1000 au 1500 poa kabisa.
Matajiri hawaelewi haya mambo!Hivi wewe kweli hujui kuwa hapa Tz kuna watu wanalipwa 500k au chini ya hapo?
πππ Kuna sehemu nilijuwa nasikia chapati mbili na UKAWA. Nikauliza UKAWA ndio nini? Nikaambiwa ni supu bila nyama.Kuna sehem kuna chapati za miamiaπ
Matajiri wanaelewa kwasababu ndio mabingwa wa kulipa watu 5,000 kwa siku.Matajiri hawaelewi haya mambo!
Weee! uje kunipeleka sasa ππππ Kuna sehemu nilijuwa nasikia chapati mbili na UKAWA. Nikauliza UKAWA ndio nini? Nikaambiwa ni supu bila nyama.
Sasa wanashangaa nini mishahara ya aina hiyo?Matajiri wanaelewa kwasababu ndio mabingwa wa kulipa watu 5,000 kwa siku.
Bodaboda inaokoa muda sana kwa wale wanaokimbizana na muda, daladala kuna maeneo ni kero sana. Binafsi kwa siku nikijitahidi sana kubana matumizi ya nauli haipungui tsh 3,000. Uzuri nauli ni nje ya mshahara wangu ofisi inatoa nauli kila wiki.Ila watu wengi wanatumia hela nyingi kwenye bodaboda na bajaj. Unakuta anapoenda daladala inafika ila anang'ang'ania bodaboda. BTW ni hela zao wana haki ya kutumia watakavyp.
MuongoKuna sehem kuna chapati za miamiaπ