Unambiwa wana ndoa hawa walienda mahakamani ili kupeana talaka lakini hakimu aliwafukuaza

Unambiwa wana ndoa hawa walienda mahakamani ili kupeana talaka lakini hakimu aliwafukuaza

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
26,597
Reaction score
29,527
Haileweki kwa nini hakimu hakutaka hata kusikiliza upande mmoja .
Wee unadhani shida ilikuwa nini

20250908_092740.jpg
 
Kaona Wana muinjoy tu yani wanaenda mahakamani kudai talaka huku wamevaa sare ya kitenge.
 
Kuvaa sare mume na mke inaonyesha hapo kuna upendo wa hali ya juu, Hakimu aliona watapoteza muda wake bila sababu.
 
Back
Top Bottom