Mohammed Khatibu
JF-Expert Member
- Jun 28, 2018
- 1,170
- 1,617
Walikuwa wanaomba mchango wa nini sasa wakat mazoezi ni afya?
Umeshawahi kuwepo kwenye hizo timu/klabu ukajua huwa wanatumiaje hizo pesa wanazochangisha/omba?
Kuna ligi yoyote inayoendelea ambayo wao ni washiriki?
- Wanakodi ndondo?
- Wanakodi jezi?
Shiriki mara mbili tatu hivi kwenye mazoezi yao na angalau mechi moja ya mojawapo ya ligi walioyojiunga...baada ya hapo, utajua nini cha kufanya.
watu wanajifanyia mazoezi tu wanaomba na mchango kah!Hizo Senti ulizotoa zimekupa nguvu uanzishe mada
🤣🤣 DadaHizo Senti ulizotoa zimekupa nguvu uanzishe mada
Ukweli mtupu.Wengi Wapigaji Wakitoka hapo Wanagawana wanaenda kupiga 'ngada'.....!
Acheni kufuga ujinga...
Wengi mateja Wala unga...
Hii michezo ya timu za mitaani hukawii kuvunjwa mguu na kuingizia familia shida zisizokuwa za lazima! Niliwawahi kucheza mpira wa timu za mitaani miaka hiyo nimemaliza six! Kaja jamaa kunikaba kanipelekea moto wa mtama nikaangukia kichwa karibu nivunje kichwa! Tangia hapo sitaki kusikia! Wengi wao wanavuta bangi na hawajui sheria za mpira!Mi mchango wangu kwenye timu ya mtaa nimetoa buku mbili tu alafu pia nilikua nacheza no 11 nikipiga cut in kama za kina Robben lazima nifunge goli ila nikawa mjeuri maana ndo nilikua superstar wa timu baada ya kuona jamaa hawanipi heshima yangu nimesusa nimehamia timu ya mtaa wa jirani na mwezi uliopita timu niliyohamia ilicheza na timu ya mtaani kwangu nikacheza na niliifunga goli mbili ila walitaka kunivunja miguu sikumaliza dakika 90
maana ni kwa faida yaoMichezo inawasaidia kuwakeep busy na baadhi yao kuacha tabia chafu na kujenga miili yao.
Ila mimi huwa siwapi kitu.