Unamchango gani kwenye club ya mtaani kwako?

Unamchango gani kwenye club ya mtaani kwako?

Mkuu umefanya kitu cha maana sana,ukipata mda nenda hata mda wa mazoezi unaweza wachangia hata buku 2 tu,wakikuona tu basi hapo kwa namna moja au nyingine watakuheshimu wewe na familia yako hapo mtaani
Tatizo ukitoa mara moja kila wakikuona sura yako wanataka uwape tena hela haijawahi kutosha
 
Leo wakat naenda dukan kupata mahitaj nikakuta pembezon mwa duka kuna vijana wameva jez nikajua fika hawa ni wachezaji.

Wakat nikiendelea kufanya manunuz mmoja akanifuata akanambia; "...shekhe(nilikuwa nimevaa kanzu) sisi ni timu ya hapa mtaani kwetu, huwa tunafanya mazoezi hapo uwanja wa shule ya msingi, tunaomba mchango wako kwa kitu chochote..!

Mi kwakuwa sikuwa na hela ya kutosha nikawapa hela zilizobaki baada ya manunuz, ila bado moyon mwangu kuna roho inanambia nifanye zaidi ya hapa.
Hawa vijana wa mtaani kwangu wao wana timu ambayo huwa inafufuka likitolewa kombe wanashiriki, nilikuwa nawapa pesa nzuri tu lakini kilichonikera pesa zangu haziwasaidii vijana wa mtaani wanaleta mpaka wachezaji wa ligi kuu wanawalipa pesa ndipo nikaona huu ni upumbavu.

Lakini kama vijana wa mtaani wenyewe ndio wanataka kucheza mpira kuwanunulia mpira na jezi kwangu siyo issue, kwanza nina connection ya kupata hivyo vitu bure kabisa.

Lakini biashara ya ndondo kwangu hapana nataka vipaji vya mtaani.
 
Leo wakat naenda dukan kupata mahitaj nikakuta pembezon mwa duka kuna vijana wameva jez nikajua fika hawa ni wachezaji.

Wakat nikiendelea kufanya manunuz mmoja akanifuata akanambia; "...shekhe(nilikuwa nimevaa kanzu) sisi ni timu ya hapa mtaani kwetu, huwa tunafanya mazoezi hapo uwanja wa shule ya msingi, tunaomba mchango wako kwa kitu chochote..!

Mi kwakuwa sikuwa na hela ya kutosha nikawapa hela zilizobaki baada ya manunuz, ila bado moyon mwangu kuna roho inanambia nifanye zaidi ya hapa.
Huku kwetu hatuna club labda stend huku tunamsikiti kero sana na wewe sio muislam sema anasaidia kwa zile kelele unamka mapema kama unahawahi mahali
 
Siku utakapokula roba ya mbao ndio utajuwa namna ya kuishi na mtaa, hivi hawa ukiwapa buku mbili unapungukiwa na nini?
nimeishi kitaa kwa zaidi ya miaka 35 sijawahi kula roba ya mbao naishi nao kwa akili ila sio kutoa hela kila siku,unaweza ukatoa hela na bado ukala roba ya mbao kama sio mtu wa kujiongeza
 
Ungewashauri watafute kazi ya kuwaingizia kipato,.....sio kuomba omba
 
Back
Top Bottom