Unamchango gani kwenye club ya mtaani kwako?

Unamchango gani kwenye club ya mtaani kwako?

Wenzako wanaenda kuvutia bange we moyo unakuuma utoe zaidi
Bora ujichange ununue mpira wa netiboli na futiboli na kugawia shule ya msingi ya serikali ya jirani na unapoishi
 
Badala Ya Kuwapa Wavuta Bange, hizo pesa kama zinawawasha pelekeni misikitini na Makanisani mkapate thawabu..!

Wakivuta Bange hao baadae Wanatukaba vichochoroni uswahili. Acheni kbs.
 
Kwani hata wakivutia bangi pana shida gani? Ukishatoa umetoa kutoa ni moyo usimpangie matumizi unaempa! Watu wa humu mna maindi vitu vidogo aisee!
 
Leo wakat naenda dukan kupata mahitaj nikakuta pembezon mwa duka kuna vijana wameva jez nikajua fika hawa ni wachezaji.

Wakat nikiendelea kufanya manunuz mmoja akanifuata akanambia; "...shekhe(nilikuwa nimevaa kanzu) sisi ni timu ya hapa mtaani kwetu, huwa tunafanya mazoezi hapo uwanja wa shule ya msingi, tunaomba mchango wako kwa kitu chochote..!

Mi kwakuwa sikuwa na hela ya kutosha nikawapa hela zilizobaki baada ya manunuz, ila bado moyon mwangu kuna roho inanambia nifanye zaidi ya hapa.
Bila shaka itakua ni daslam kama sio gomz, magomeni, basi mitaa ya mabibo au Kigogo ndo vijana wana hizi tabia za kuomba michango
 
Kwani hata wakivutia bangi pana shida gani? Ukishatoa umetoa kutoa ni moyo usimpangie matumizi unaempa! Watu wa humu mna maindi vitu vidogo aisee!

Kwani hata wakivuta Bange pana shida gani?
We Mvuta Bange Unamjua ? Kama humjui usiombe Ukutane nae Vichochoroni...! ni balaa. Wanatembea na Viwembe, bisibisi na visu.

Kama unao ndugu Wanakaa mitaa ya Mwananyamala,Tandale,Manzese na buza waulize Wakujuze Wala mibange ni kina nani?
 
Huyu bangi anayoijua ni inayosimuliwa online, hajakutana na show za wandava wanapiga jogging, boxing na futiboli wakikuweka 18 unaona kiama hiki
 
By the way sometimes kutoa kwa unachokiona, kilichopo kwako ni bora kuliko kutoa kwa ambaye haujamuona wala haonekani na kama kweli unafuata Imani yako unayemtolea ndio ana kila kitu wala haitaji msaada wako)
 
Kwani hata wakivuta Bange pana shida gani?
We Mvuta Bange Unamjua ? Kama humjui usiombe Ukutane nae Vichochoroni...! ni balaa. Wanatembea na Viwembe, bisibisi na visu.

Kama unao ndugu Wanakaa mitaa ya Mwananyamala,Tandale,Manzese na buza waulize Wakujuze Wala mibange ni kina nani?
Niko nao hapa wanafunga Skanka nawauliza
 
Back
Top Bottom