unamchukia nani katika hili jukwaa??

Mi namchukia Illuminata sana, kule kwenye thread yake amesema yuko single mi nikamwambia tufanye kitu akanigomea.
 
Ngoja nimtafute wa kumchukia ndani ya huu Uzi!
 
Namshukuru mungu huwa siwekezi chuki kwny moyo wangu,mm mtu akiniudhi huwa nampotezea tu.

Humu kuna watu wawili walishaniambia hawanipendi halafu hata sijui nmefanya nn
Pole na hongera
Pole kwa kuchukiwa huku hujui shida ni nini.
Hongera kwa kutokuwekeza chuki.
 
Mate wewe [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] Smart911 asikusikie! Haramu yakheee [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Serious mna relation or utan wa hapa jf tu
 
Frankly speaking Kuna watu fudenge sasahivi nawachukiaaa Yani nawachukiaaa [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji30] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109]


Cc Smart911
Nawajua mahondaw wangu...

Wasikupe pressure, mbona ni watoto sana hao...
 

Mtafutie kijana mmoja wa kumliwaza [emoji2][emoji2][emoji2]

Merry Christmas [emoji320]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…