Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,133
- 12,361
Mi namchukia Illuminata sana, kule kwenye thread yake amesema yuko single mi nikamwambia tufanye kitu akanigomea.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Balimi situmii mpenz..kama kuna savannah am comingNjoo tunywe balimi bhana,..
Endelea kumchukia tuMi namchukia Illuminata sana, kule kwenye thread yake amesema yuko single mi nikamwambia tufanye kitu akanigomea.
So?Kumchikia mtu ambae hakusababishii vyuma kukaza ni ujinga.
Kumchukia mtu kisa tu mmetofautiana ni ujinga.
Hahahahahaa nimekuelewa kinoma nomaaa,...ngoja sisi tusio na wapigaji tuonje kidogo[emoji13] tehhMama ningekua mnywaji pombe ,,nahisi ningeishiwa kupigiwa mwanamke !!.
Daaah, I see!Endelea kumchukia tu
Zipoo,ww tuu mamii...mm leo naburudika na ladha ya nyumbani.Balimi situmii mpenz..kama kuna savannah am coming
Pole na hongeraNamshukuru mungu huwa siwekezi chuki kwny moyo wangu,mm mtu akiniudhi huwa nampotezea tu.
Humu kuna watu wawili walishaniambia hawanipendi halafu hata sijui nmefanya nn
Naww hongera kwa kuchukia watuPole na hongera
Pole kwa kuchukiwa huku hujui shida ni nini.
Hongera kwa kutokuwekeza chuki.
Naww hongera kwa kuchukia watu
AhsanteNaww hongera kwa kuchukia watu
Thanks love [emoji120] [emoji120]
Aaah,shostiiii unamchukiaje MTU bila kumfahamu na pengine hajakufanyia jambo lolote baya eti??? Mm binafsi humu hakuna nimchukiae, labda tuu changamoto za hapa na pale ambazo zinavumilika na kusahaulika suddenly,. Hahahaa usingo usikufanye hivyo bhanaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukachukia watu hovyo hovyo utapata ulcers buureee halafu utatengeneza chuki tuu humu zisizo na msingi wala nn,..
Njoo tufurahi pamoja maeneo acha vichuki chuki,sawa mrembo???
Merry Christmas[emoji307]
Merry Christmas kwako pia,...atampata tuu muda wake ukifika.Mtafutie kijana mmoja wa kumliwaza [emoji2][emoji2][emoji2]
Merry Christmas [emoji320]
Wasalimie!Merry Christmas kwako pia,...atampata tuu muda wake ukifika.