unamchukia nani katika hili jukwaa??

unamchukia nani katika hili jukwaa??

ask your ass
Cymon 20150831_073138.jpg
 
Big mind namchukia na sababu anaijua

Wengineo hakuna ni masela tunatofautiana halafu tunawekana sawa, mia kwa jf wote isipokuwa big mind nakuhate mno
 
Big mind namchukia na sababu anaijua

Wengineo hakuna ni masela tunatofautiana halafu tunawekana sawa, mia kwa jf wote isipokuwa big mind nakuhate mno
Sio vizuri kumchukia mwenzako hivyo. Si unajua upendo ndio amri kuu kuliko zote
 
Back
Top Bottom