Unamchukuliaje mama yako ambaye hataki kukupa ukweli kuhusu baba yako mzazi na kuacha utumie ubini wa mtu mwingine?

Unamchukuliaje mama yako ambaye hataki kukupa ukweli kuhusu baba yako mzazi na kuacha utumie ubini wa mtu mwingine?

Mara nyingine kueleza in details inakuwa ngumu. Labda mama alimpenda huyo baba. Baba akazingua. Wewe ni innocent product ya mapenzi ya mama na maamuzi ya baba.
Sasa Mama atafanyaje? Kama umekua, anajua utataka kumuona baba. Sasa mababa wengine wanajua kukojolea tu. matokea ya kukojoa hayawahusu.
Muonee huruma mama yako amekulea kama alivyoweza na umejitambua. Kuna mambo sio wewe wala mama yako wanaweza kuyapatia ufumbuzi wa haraka haraka.
Maisha yetu chini ya jua, yanatulazimisha kujifunza kuwa wanyenyekevu na kujishusha kuliko kujikweza. Utanishukuru. Ipo siku baba atakupigia magoti, sio sababu umemzidi umri, ila kwa heshima ya mama yako kukulea na kuweza kujitambua.
Waswahili wanasema kulea mimba sio kazi.....kazi ni kulea mwana. Relax. Enjoy. Produce and Reproduce. But responsibly.
Lanlady
 
Ni kweli madingi huwa wanafanya blunders nyingi sana lakini mwisho wake huwa wanakuwa Wana majuto sana huyu Lanlady asipaniki wala asijisikie vibaya aendelee na mishe zake tu. Ipo siku huyo Baba anayezingua Atakuja kumuomba msamaha. Cha msingi aeleleze akili yake kwenye maisha yake tu
 
Ipo mifano mingi sana. Kumpa pressure Mama ni kumuonea maana kuna wakati alifanya maamuzi ili mambo yasonge mbele.
Amuelewe especially kama na yeye anayelalamika ni mwanamke. Hujafa hujaumbika
 
Ipo mifano mingi sana. Kumpa pressure Mama ni kumuonea maana kuna wakati alifanya maamuzi ili mambo yasonge mbele.
Amuelewe especially kama na yeye anayelalamika ni mwanamke. Hujafa hujaumbika
Ni kweli na ndio maana Niliandika hapo post #3
 
Hakikisha unamjua Baba yako mzazi kuna FAIDA kubwa kuliko hasara .

Baba ndo anabariki watoto
Baba anatoa muongozo
Baba ndo Mungu wako.

Hata ukitaka kufanya ibada za mizimu kutambika kuondoa mambo mabaya you need to use the name of ur Fathers.

So keep this in mind .
 
Umezaliwa humfahamu baba yako mzazi. Mama yako anakwambia babaako alishakufa. Anakutajia jina ambalo silo unalotumia shuleni. Unaanza kujiita ubin kwa hilo jina.

Baada ya miaka kadhaa,
mama yako anakutambulisha kwa mtu mwingine kuwa ndiye baba yako. Tena yuko hai. Na jina sio lile alilokutajia.
Unaanza kuuliza maswali imekuwaje. Mama yako wala huyo baba hawakupi majibu yanayokuridhisha. Unahisi kuna kitu hakiko sawa.

Baada ya miaka kupita, mama yako anakutajia jina la mtu mwingine tena na kukuonesha picha kuwa huyo ndiye baba yako. Anakupa namba. Unajaribu kupiga hiyo namba haipokelewi. Unaamua kuifuta.

Baadae rafiki wa huyo baba anakwambia kuwa; huyo baba yako hayuko tayari kukukubali. Na anauliza kwanini mama yako hakumwambia mapema. Unaamua kupotezea na kuendelea na maisha yako.

Swali ni je, utamchukuliaje huyo mama yako, Ambaye hayuko tayari kusema chochote kila unapomuuliza?

In spiritual Baba ni muhimu Sana akufahamu Kama yupo na akupe mkono wake .

Fatilia umjue Baba yako halisi you will never remain the same .
 
Fanya mishe zako achana na mtu asitaka umjue, kama baba ana uhitaji na wewe angeshakupata maana ni rahisi kwa yeye kukutafuta wewe kuliko wewe kumtafuta yeye.

Na vipi ukampata na still akakukataa vilevile, achana na wanaosema sijui baba ndio mungu wako, sijui kabeba baraka ni imani zao ambazo sio lazima ziapply kwako.

Mama anawezakua alipitia jambo gumu ukapatikana wewe, na vipi kama nae hamjui baba yako halisi ni yupi. Mshukuru Mungu alikuzaa, hakutoa mimba, alikulea hakukutupa kama wanawake wengi wafanyavyo.

Mfurahie mama yako, mama yako ndio baba yako. Muelewe.
 
Kwanza fatilia struggle za Mama yako pindi akiwa na mimba yako. Ukute alikataliwa,alisimangwa,alinyanyanswa etc
 
Back
Top Bottom