Unamchukuliaje mtu ambaye mnapokutana kwa muda mfupi tu, tayari ameshajinadi sifa zake zote?

Kujikosha
 
Nadhani wanasumbuliwa na insecurities, kusema hivyo inawasaidia (japo kwa muda) kurudisha kujiamini na kujihisi kukubalika na watu.
 
Jirani yangu huyo
 
Extroverted

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
"ameshafirisika" ndiyo umemaanisha nini?

"Great minds discuss ideas, average minds discuss events, poor minds discuss people". Kwa falsafa hii, jikumbushe upo kundi lipi, kati ya hayo matatu, kwa kutaka tuongelee watu.
 
Ni upweke tu unawasumbua. Hivi unaja mtu anaweza kuwa anaishi na watu ila akawa mpweke.

Inakuwa hivi mfano:

"mimi tangu mwaka juzi mwishoni sijasafiri kabisa, korona imenipotezea dili nyingi, yani kipato kimeshuka sana embu fikiria nmepeleka mtoto shule ya laki sita sijui kama atafanya vizuri mtihani wa darasa la nne.

Ila nimegundua mke wangu ana akili sana kaanzisha vimradi anafuga kuku kwa mwezi hakisi milioni mbili, nmewaza huu mwaka mwishoni nimuongezee mtaji akuze kuze biashara."

Wewe ukikutana na mtu wa hivyo jua upweke ndio tatizo. Wewe muitikie tu isiwe tabu zaidi.
 
Mjinga
 
Hawa watu I put my hands up🙌
Juzi I met mdada wa makamo hivi kaolewa na mzee ambae amemzidi 31 years coincidence happened basi akaanza kuelezea how they met, her parents reactions, how other people take their relationship, how he lives with her husband's kids basi Kila kitu hapo tumekutana nusu saa Tu.
To me these people are very innocent lakini Huwa napigwa na butwaa ki ukweli ni vyema wakayasoma mazingira kwanza before they feel comfortable to express themselves.
 
Na ole wake mbadilishane namba unaombwa pesa soon,
 
Ila binadamu tumetofautiana sana mimi kama hatujuani tutazamana tu kama majogoo yaliyochoka kupigana,no story zaidi ya salamu ukiniletea story za kiutopolo nakukata jicho moja matata hurudii tena
 
Nashikaga tama tu namuangalia machoni na kuitikia eeeh, mmmmh ni kweli , eeh ni sawa

Masawe mletee huyu ndugu yangu nachokunywa...Halafu maisha yanaendelea.
Binadamu hatufanani , let him be
 
Mpaka aanze kujisanua hivyo kwko jua tatizo ni wewe mwenyewe
 
Kuna konda kasimulia vita ya urusi na ukraine tokea USSR mpaka itakavyokuwa badae,toka mikumi hadi dar,kesho atamuelezea rais wa korea kaskazin bwana kiduku,

Dizaini ya hawa watu nao vip tutawasema leo au kesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…