Unamfahamu Mfugaji wa Kuku ambae anapata changamoto kusimamia Shamba lake la Kuku?

Brayan_Jk

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2025
Posts
210
Reaction score
250
🌞 Heri ya wiki mpya mfugaji! πŸ”
Anza wiki hii kwa ubora zaidi ukitumia toleo jipya la Fuga App sasa ni rahisi zaidi kusimamia shamba lako, kufuatilia matumizi, uzito wa kuku na faida zako!

πŸ“² Pakua sasa Fuga App kupitia Playstore: [Fuga - Apps on Google Play]
 
Mkuuu digital marketing ni ngumu sana na hapo ni kama hujafanya lolote maana sidhani kuna mtu atadownload hiyo app


Ulitakiwa ueleze maelezo ya kina na namna inavotatua tatizo la mtu

Asante
 
Mkuuu digital marketing ni ngumu sana na hapo ni kama hujafanya lolote maana sidhani kuna mtu atadownload hiyo app


Ulitakiwa ueleze maelezo ya kina na namna inavotatua tatizo la mtu

Asante
Sahihi kabisa. Mimi mwenyewe ni mfugaji wa kuku nilidhani kuna jipya ambalo ningejifunza kutoka kwake.

Kwa upande wangu nilikua nafanya utafiti wa kufuga kuku wa kienyeji kwa cost ya 30%. Nimefanikiwa na nitatoa mwongozo hivi karibuni.

Ufugaji wa kuku ni utajiri japo sio wa haraka haraka
 
Karibu Utumie Fuga App
 
Ni kweli kabisa mkuu, hasa ukiwa umeinvestvizuri na kujikinga na risks kama wezi maana huku kwetu wizi ni mkunwa sana kwa mabanda ya nje yaani wanaiba mpaka NGURUWEπŸ˜„πŸ˜„
 
Karibu Utumie Fuga App
Sema inamsaidia nini? Itampa matokeo gani? Na namna ya kujiunga etc


Yani hapo ni kama upo dukani unasema nunua viatu! Hutaji saizi, rangi itakayompendeza mteja wako na kwanini anunue brand hii badala ya hii

Mkuu kafanyie kazi hilo
 
Tunahitaji nondo zako mkuu
 
A
Sema inamsaidia nini? Itampa matokeo gani? Na namna ya kujiunga etc


Yani hapo ni kama upo dukani unasema nunua viatu! Hutaji saizi, rangi itakayompendeza mteja wako na kwanini anunue brand hii badala ya hii

Mkuu kafanyie kazi hil
App inakusaidia kusimamia ufugaji wako wa kuku kwa kukupa ratiba ya chakula kila siku kulingana na aina na idadi ya kuku,inakusaidia kufanya makadirio ya gharama ya mradi kabla ya kuanza, kukumbusha ratiba za Chanjo,kutunza rekodi vizuri ,kufuatilia gharama ili ujue unauza bidhaa zako kwa shngap na mengine mengi
 
Hii post pia sikua na nia ya kutangaza benefits za app ,ila post zangu zingine karibia 90% hua naelezea feature
Sema inamsaidia nini? Itampa matokeo gani? Na namna ya kujiunga etc


Yani hapo ni kama upo dukani unasema nunua viatu! Hutaji saizi, rangi itakayompendeza mteja wako na kwanini anunue brand hii badala ya hii

Mkuu kafanyie kazi hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…